Nguza za imani ni sita
Kumuamini Allah (Mwenyezi Mungu)
Kuamini Malaika wa Allah
Kuamini Vitabu vya Allah
Kuamini Mitume wa Allah
Kuamini Siku ya Mwisho (Kiyama)
Kuamini Qadari (Makadirio ya Allah
Mtu akijizoesha katika mwezi mzima wa Ramadhani kuacha mambo yaliyokatazwa, basi nafsi yake itazoea hilo hata baadae. Hivyo Ramadhani ni shule ya kuilea nafsi.
After or Behind them. Nor shall they compass Aught of his knowledge Except as He willeth. His throne doth extend Over the heavens And on earth, and He feeleth No fatigue in guarding And preserving them, For He is the Most High. The Supreme (in glory).
Allah! There is no god but He - the Living, The Self-subsisting, Eternal. No slumber can seize Him Nor Sleep. His are all things In the heavens and on earth. Who is there can intercede In His presence except As he permitteth? He knoweth What (appeareth to His creatures As) Before
🌹Dua ya anae piga chafya🌹
الحمدالله
Alhamdu lillaaah
"Sifa njema ni za mwenyezi mungu".
Atajibu wapembeni yake
يرحمك الله
"Yarhamukallaah"
"Mwenyezi mungu akurehemu".
Kisha aliyepiga chafya atasema tena
يهدکمالله وىصلح يا لکم
Yahdeekumul-laahu wa yuslihu baalakum.
Hadithy nzuri kutoka kwa imam ibn Majah inasisitiza watu waliokasimiana wamechukiana hawaongeleshani waombane misamaha.
Kwa sababu usiku wa 15 wa mwezi wa Shabani, Allah anawasamehe waja wake isipokuwa washirikina na waliochukiana bila sababu za msingi(kwa mambo tu ya kidunia).