ALBUM YA #HAKUNAMATAATAA toka kwa Songa ni rasmi sasa imetoka leo (01-03-2025),na itapatikana kwa njia ya soft copy(whatsapp,email,telegram etc) kwa bei ya Tsh. 10,000/= tu . Ukishafanya malipo utatumiwa ALBUM hii muda huohuo. Namba ya malipo ni 0656337757.
Jana Arusha imepigwa Hip Hop Live Show matata sana na @ChabaThomas . Sijajutia kabisa kusafiri kuja kushuhudia tamasha la aina yake. Pongezi nyingi kwa @ChabaThomas na wote walioshiriki.
#HipHop
Niko Arusha mahususi kwa ajili uzinduzi wa Album ya CHABA utakaofanyika leo pale Alliance François d' Arusha (Ubalozi Wa Ufaransa). Tukutane hapo kuanzia saa moja usiku.
@NiiteSonga Kipindi unaingia kupiga verse ya pili ya sauti ya Gheto , Proff Jay alikuwa anakuangalia na kujipiga kifuani anasema Yes watoto wangu hao hawajaniacha Alone. 🔥🔥. Alifarijika sana
Am very very happy kuona ndugu zangu Songa na Nikk Mbishi ndio wanamfanyia back vocal Profesa Jay...Its a real definition of hip hop, we love you Jay✌️..haters gonna hate but we move on