AGIZA NA NIMO!
Katika dunia ya leo ya biashara, NIMO Company inafanya kazi kubwa kuunganisha ulimwengu kupitia biashara ya kimataifa. Safari yetu inaanzia mbali, katika nchi za CHINA, INDIA, UTURUKI na DUBAI na kuleta bidhaa bora hadi hapa Tanzania.
Kupitia Nimo Bima, unaweza kukwepa heka heka za hospital na gharama zisizotarajiwa…
Pata huduma ya afya kwa haraka, kwa utulivu, na kwa upekee unaostahili. Kwa sababu afya yako inahitaji zaidi ya kawaida inahitajika ulinzi wa kiwango cha juu. Nimo Bima chagua urahisi
#bima
Kutoka kwenye wasiwasi wa ‘je, pesa itatosha?’ hadi uhakika wa matibabu bila stress.
Bima ya afya inabadilisha kila kitu unaingia hospital ukiwa na amani ya moyo, ukijua gharama zako zipo covered.
Jiunge nasi leo, linda afya yako na uhakika wa kesho.”
#BimaYaAfya#vir#throwback