Liam Payne aliwasili nchini Argetina akiwa na mkewe mnamo October 14 kwaajili ya kutumbuiza kwenye show. Mashuhuda wa hoteli hiyo wanadai kuwa Liam Payne alikuwa ni mtu wa hasira toka awasili kwenye hoteli hiyo.
Mwanamuziki ambaye alikuwa ni mmoja wa waimbaji waliounda kundi la One Direction #LiamPayne amefariki dunia baada ya kudondoka kutoka kwenye ghorofa ya tatu ya Hoteli aliyokuwa amefikia huko nchini Argentina
-
Ujumbe huu unadhihirisha matumaini na imani kubwa ya Kusaga kwa uwezo wa Diamond katika tasnia ya muziki, pamoja na mwanae Zalex, ambaye anapambania mkanda mweusi (martial art) ifikapo 2025.
Powered by @oghurtmilk2023π₯
#nino_updates #ulimwengu#kiganjani#Mwakoπ
Mwanzilishi na mmiliki wa Clouds Media Group, @josephkusaga, amemtumia ujumbe wa heri msanii Diamond Platnumz, akimtakia mafanikio katika safari yake ya kimuziki. Kusaga anaamini kuwa mwaka 2025, @diamondplatnumz atakuwa msanii bora zaidi barani Afrika.
Taarifa ya Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamillah Mbarouk, imesema ratiba ya treni ya haraka itatoka Dar es Salaam saa 12:00 asubuhi na itatoka Dodoma saa 11;30 asubuhi, wakati treni ya kawaida itaondoka Dar es Salaam saa 11;30 jioni.
DAR ES SALAAM; WAKATI huduma za awali usafiri wa treni za abiria katika Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Dar es Salaam-Morogoro-Dodoma zikipangwa kuanza Julai 25, 2024, ratiba ya usafiri huo sasa imetangazwa rasmi.
Picha Tano zinazomuonyesha Mgombea wa Kiti Cha Urais Nchini Marekani Donald J. Trump akiwa na alama za Damu Usoni Baada ya Jaribio la Kumpiga Risasi kwenye Mkutano Wake huko Butler, Pennsylvania Nchini Marekani .
FBI wamemtambua Thomas Matthew Crooks, kijana mwenye umri wa miaka 20 kuwa ndiye aliyefanya shambulio hilo. Mdunguaji huyo alipigwa risasi na kupoteza maisha katika eneo la tukio na maafisa wa Secret Service
Powered by @oghurtmilk2023π₯
#nino_updates
Shirika la Upelelezi nchini Marekani - FBI wamebaini majina ya mtu aliyempiga risasi rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ambaye alijeruhiwa kwa risasi mapema leo akihutubia mkutano mjini Pennsylvania.
Wakikagua njia za mashindano ya mbio za pikipiki za Samia Motorcross yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024 katika Viwanja vya Lakilaki - Kisongo jijini Arusha.
Powered by @oghurtmilk2023π₯
#nino_updates #ulimwengu#kiganjani#Mwakoπ
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda @baba_keagan akiwa na mgeni wake, Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa wa Kanisa la Arise and Shine (Inuka Uangaze) wakiwa kwenye pikipiki ya miguu minne.
Frida Amani amesema "muziki wa hip hop umempa nafasi ya kuweza kuzungumza kile ambacho anataka kukifikisha Kwa jamii,bila kujali utakipenda au hautokipenda,kikubwa ni kuhakikisha ni ujumbe sahihi Kwa jamii"
Powered by @oghurtmilk2023π₯
#nino_updates #ulimwengu#kiganjani#Mwakoπ
πMsanii wa Rap na mtangazaji Frida Amani,amekuwa msanii wa kwanza kupata mualiko wa kushiriki katika mkutano mkubwa wa Dunia uitwao NEXT ambao umeandaliwa na kituoni kikubwa Cha utangazaji Cha uturuki kiitwacho Turkey Radio and Television (TRT)
Tukio hilo limetokea majira ya saa mbili asubuhi Mei 14 mwaka huu baada ya lori lililokuwa likitokea Mjini Morogoro kuelekea Dodoma kugongana na Noah iliyokuwa ikitokea Dumila kwenda Morogoro Mjini wakati Noah ikitaka kulipita gari la mbele yake.
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah kugongana na lori la mizigo katika eneo la Dakawa wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Hali ilibadilika muda mfupi baada ya kusambaa picha za Yammi na Barnaba za ku-push wimbo wao "NIBUSU", ambazo hazikumvutia mkewe.
Powered by @oghurtmilk2023π₯
#nino_updates #ulimwengu#kiganjani#Mwakoπ
π @yammitz adai anapokea vitisho na matusi kupitia DM, ajitetea hajaiba mume wa mtu, hii ni kufuatia @rayatheboss, mke wa Barnaba kumtuhumu mume wake kwa kutoheshimu ndoa yao. Zigo la lawama amuangushia @barnabaclassic "Umenitafutia balaa"
Naamini Ukweli siku zote humuweka mtu huru. Niwaombe uvumilivu swala hili linapo endelea kufanyiwa kazi " - @christinashusho .
Powered by @oghurtmilk2023π₯
#nino_updates #ulimwengu#kiganjani#Mwakoπ
πAnaandika @christinashusho βπ½: "Ndugu Zangu, Waandishi wa Habari mnaonitafuta na Mashabiki Kwa Ujumla Ningependa kuchukua nafasi hii kuweka baadhi ya mambo sawa.
1.Najua mna maswali mengi kutokana na interviews nilizo fanya mwaka 2020 na nyingine mwaka wa 2022.