ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020/2025 na Malengo ya Maendeleo Endelevu, ukiazimia kuongeza uzalishaji wa kilimo na kuwa na kilimo biashara.
Ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha upatikanaji wa fedha za
utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ile mikubwa ya kimkakati ya mabwawa na uchimbaji wa visima ambapo mitambo iliyopo itawafikia wakulima wote kupitia halmashauri zao,”amesema.
Amesisitiza kuwa lengo la Serikali ni kuhakikisha Tume inakuwa na mchango katika utekelezaji
Serikali katika Umwagiliji,”amesema.
Akitoa maelezo ya kitaalamu Mhandisi wa Umwagiliaji Mkoa wa Dodoma, Oswald Urasa amemweleza Waziri Mkuu kuwa mitambo hiyo ya Umwagiliaji ikiwemo wa
(CENTER PIVOT), ambao unauwezo wa kumwagilia hekta tano, sawa na ekari 12.5 ndani ya saa
Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo lengo ni kuhamasisha ujenzi wa viwanja nchi nzima kwa kuotesha majani halisi badala ya ‘artificial’ uwanja kama wa kwetu wa Dodoma Mkuu wa mkoa una ukame sana tukipata mitambo hii ya umwagiliaji itafungua milango,”amesema.
imefanyika katika Umwagiliaji hivyo ni muhimu Wizara kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuhakikisha wanashirikisha sekta nyingine kupanua wigo wa huduma za umwagiliaji nchini kwa kutumia teknolojia za kisasa.
“ Umwagiliji huu mdogo mdogo unahitajika hata na