💨 Karibu ujisomee Nyuzi 20 MaTaTa za teknolojia.
✴ Naomba RT yako mtu wangu wa Nguvu, kisha bonyeza hii picha 👇👇 utiririke nazo.
#FLowMaTaTa by @njiwaflow https://t.co/C2UMPzrZHW
💨 Hapo ni Radio Safina wanafanya kazi ya Mungu na wamesaidia kuyafungua maisha ya watu wengi Kaskazini
Hii kutumika namna hii kiukweli nimesikitishwa sana Mzee Daniel Lema angekuwa na nguvu asingekubali hili jambo
Bahati mbaya tulipofikia watu wanatumia hofu kufanya maamuzi.
💨 Aqous sense 4 64gb - 210,000tsh
📍DAR: Tunatazamana na Geti la KKKT Kariakoo utapanda ngazi za njano Floor ya 1 utaingia ndani na kukunja kulia duka limeandikwa NJIWA STORE
📍MWANZA: Roundabout ya Samaki bango limeandikwa NJIWA STORE
📞 0745100757