Ohhh Cr7 alipiga hattrick kwa Spain ohh Algeria team ya kawaida๐๐๐๐๐๐ THE GOAT AFTER SCORING HATTY kaingia kwa ubao apo wenu alivoifunga spain ilimsaidia nini? ๐๐๐uyo Ronaldo apo sio wenu msije mkajipa umuhimu๐๐๐LEO TUNATAKA HATTRICK HATUPOKEI MAELEZO YOYOTE
Pooltable, kuchezesha game na liqour store sio biashara haramu lakini ukiifanya unaweza jikuta umelala mara nyingi polisi kuliko vibaka wa mtaani kwako.
Biashara ambayo inahusisha watu wote pamoja na wanafunzi tabu sana.