Hebu tuwekeni wazi CHADEMA. Mkutano wa siku mbilitatu unakuwaje GHALI namna hii. Tuwekeeni hapa mnachotaka kugharamia hii milioni miatatu( 300,000,000/-).
Naheshimu sana kazi mnayofanya kwa Taifa hili lakini kuweni wa mfano kwa yote yakiwemo matumizi ya rasilmali fedha.
Huyu dada wa Kyela FM anatakiwa aje mjini, head hunters wa radio kubwa fanyeni namna.
Alinipigia verse moja ya Chid Benz na ile ya Dizasta ilikuwa noma kabisa.
Nina uhakika hujatunga? Umkazo uwekwe kwenye sentensi ya mwisho ...jamaa wanazingua. Leo nilikuwepo muda ule kimara nawauliza gari za kibaha wamenijibu hakuna rout niliuliza makusudi Kwani nilikuwa na tangazo lao ...WABABAIFU HAWA.
Leo Mwendokasi wameanza ruti ya kutoka Kibaha hadi Kimara.
Nauli ni 2000.
Wazee wa Maliasili, madukani, kwa komba, Gogoni hadi Kibamba mshindwe nyie tu.
Wazee wamerud tena ruti yao ya awali
Bandari ya Mafia, Bagamoyo, Mangapwani wamechimba kampuni ya Azam
Wana mashine ya kuchimba ya kisasa inachimba kina kirefu sana.
Mfano pale Bondeni Pwani Mafia kazi kubwa wamefanya 🙌
“Watu wengi waliofanikiwa ni watu ambao walibakia kidogo kichanganyikiwa, na watu wengi walio changanyikiwa, ni watu ambao walibakia kidogo kufanikiwa”
“Kuvunja Muungano kwa sasa ni jambo ambalo haliwezekani kwasababu Tanganyika haipo. Ziliungana nchi mbili Tanganyika na Zanzibar sasa leo Zanzibar atakaa na nani mezani kujadili kuvunjwa kwa muungano?”
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na uongozi, Paternus Niyegira.
Hivi Walter alimsukuma Chama au walisukumana?
Akija Mgeni atadhani Walter aliingia Uwanjani akamsukuma Chama!! Kumbe Chama ndo alifika kwenye Bench la Ufundi la Yanga… swali je Chama alifikaje pale ?
Miaka ya 90’ kuna bia ilikua inaitwa BINGWA, picha linaanza unaambiwa kabisa haijatengenezwa kunywewa ya moto.
Sasa wewe jichanganye unywe ya moto uone😂😂😂
Stend ya Mbezi Luis Daladala za kwenda Gongo la mboto, Tabata Kinyerezi/ Segerea na za kwenda Tandika kupitia Jet pala zilipokuwa zinakaa mwanzo zimehamishwa,
Saiv zinakaa uku juu karibu na daraja la kwenda Magufuli Bus Terminal.
Watu wengi wanachanganya sana
Kwa Research yangu ndogo, hii ndio list ya gari zenye watumiaji wengi jijini Dar es salaam
1. IST
2. Subaru
3. Rav4
4. BMW
5. Crown
6. Mazda
7. Dualis
8. Noah / Alphad
9. Range Rover
10. Prado