Vipimo vinavyofanywa na TBS vinaaminika kimataifa.
Matokeo ya maabara hutolewa kwa kufuata taratibu za kisayansi na kitaalamu.
Vifaa vya maabara hukaguliwa na kuthibitishwa mara kwa mara ili kuhakikisha usahihi wa vipimo.
Wataalamu wa maabara hupimwa uwezo wao na kufanya kazi.
TBS wanafanya kazi kwa weledi mkubwa sana na ni moja ya taasisi zinazotekeleza majukumu yake kwa umakini bila longolongo. Tatizo kubwa kwa wananchi wengi ni kutokuelewa kwa undani namna taasisi za viwango zinavyofanya kazi na misingi wanayotumia kutoa maamuzi kuhusu ubora wa bidh
Kuna magonjwa yasiyoambukiza yanakuwa kwa kasi sana
Kuna shirika linaitwa TBS na lile la ulinzi wa mteja, haya mambo utosikia wakishughulika nayo
Kwenye kilimo kuna madawa hatari sana yanatumika.
Sekta ya ufugaji ina majanga hasa ufugaji wa kuku madawa ya ajabu ajabu yanatumia
Tumefika mpaka kwenye kahawa
Na TBS wapo
TBS walitakiwa kuwa na intelligence ya soko na kupambana na haya mambo kitengo chao cha bidhaa bandio kinatakiwa kuwa moto sana
Maabara za TBS zimeidhinishwa kimataifa (Accredited Laboratories)
Maabara za TBS zimepata ithibati chini ya kiwango cha kimataifa cha ISO/IEC 17025, ambacho ni kiwango kinachotambulika duniani kwa uwezo na ubora wa maabara za upimaji na calibration.
Hii ina maana kuwa:
#BajabirLogistics imeshafanya biashara na makampuni mengi makubwa na bado inaendelea kufanya biashara na makampuni.
Huduma bora za usafirishaji wa mizigo ndio sababu kuu ya kufanya nao kazi.
Kuwa sehemu ya familia kwa kuipa mizigo #BajabirLogistics, iwe midogo au Mikubwa