@shaks_prince Nina jamaa angu alikua anafanya kazi za sales izi kampuni moja DSM hio, kapata mchongo ULAYA uko aaah, Boss kashangaa tu kijana anapost status yuko JNIA๐ DEPARTURES
@PKunjega1_@pixeltanzania Kama umetumia iPhone utagundua that's not the case. Ni kama kuna namna quality ya picha za pixel zinakua condensed lakini za iPhone zinabakia vilevile ukizipandisha Whatsapp huko.