Top 5 business zinazobamba Tanzania kwa sasa
1. Agri-business
2. Fashion & Beauty
3. Phones & accessories
4. Food & Drinks
5. Transportation
Ongea za kwako
How to make money work for you? Nawezaje kuifanya pesa inifanyie kazi?
Nje wanatumia sana mfumo wa kununua stocks, bonds,etc. Je hapa kwetu Tanzania inawezekana.
Wazee wa CPA tupeni mwanaga
Young Africans wamepata mwekezaji na kwa muda mfupi na mara ya kwanza wamepata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwa club. Msikubali huu USWAHILI unaoendelea uwaharibie FOCUS. Kama mtafanikiwa kufaulu MTIHANI wa waswahili Hakuna timu itawakamata.
Msiyapuuze mapenzi ' Love is strongest emotion, love is intense and life changing' Msicheze na mapenzi kaba huwezi kuwa na 'Commitment' kwa mwenzi wako ujue madhara ya intensity ya love yatakukuta.
I am just saying, nothing personal.
Kuna wat wanafanya makusudi kwenye kuandaa mitaala ya elimu. Hivi nini kinazuia mtoto wa primary school kufundishwa 'How to Invest' , ' How do people get rich' , 'How to spend money wisely', How to save money'.
Unakuta mtoto anafundishwa 'Name the hydropower dam in Egypt' WTF.
Elimu yetu Tanzania ni sawa na kula chakula na kwenda kukitoa chooni ukiamka asubuhi tumbo liko empty. Wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini maarifa wameyaacha vyuoni.
Profesa PhD