@TitoMagoti Tatizo la hili Taifa siyo mtu,, tatizo letu ni mfumo mbovu,,tusihangaike na matokeo,, inatakiwa tuhangaike kung'oa mzizi wa tatizo ambayo ni mfumo, kwa mfumo huu hata uwe malaika utageuzwa kuwa shetani,tupiganie katiba mpya kwa nguvu zote
@ReganTesla_ Mie nilimkabidhi Mungu roho yangu,,kila usiku unapoingia nilikuwa nasema Mungu wangu mimi ni kazi ya mikono yako, kama inafaa kunichukua nichukue nipumzike na haya mateso, pia naomba ikikupendeza fanya uponyaji juu yangu.
@Thommunkondya Kwa maisha haya uliyoyaishi unaipendaje CCM kaka,,hujiulizi ni watanzania wangapi wanapata shida kwa sababu ya uongozi mbovu wa maccm. Mwenyezi Mungu katupa macho lakini hatuoni na katupa masikio lakini pia hatutaki kusikia..
@danchibodc Mimi naamini mafanikio yana tafsili kubwa sana, ingawa wengi wanaamini kuwa na kiasi kikubwa cha pesa ni mafanikio, lakini mimi binafsi nayatafsili mafanikio katika engo nyingi sana. Kwa hiyo hakuna kipimo cha moja kwa moja cha kutafsili mafanikio.
@Mnyamaa3@Makaveli_255 Bro tambua kuwa taarifa nyingi unazopata ni wameruhusu uzipate, kuna taarifa nyingi hazipatikani kiurahisi hasa kwa nchi zenye vikwazo na maghalibi, Kama unailinganisha na Korea kusini sawa, ila siyo nchi masikini kama wengi walivyoaminishwa.
@Vitabu247 Huenda baada ya kusoma ndo akaamua aanze harakati za kuwa tajiri, kwa kuwa utajiri ni mchakato wa mda mrefu, jamaa ameamua kujitafuta kupitia kuuza vitabu
Kuna namna nyie wanasiasa mnatuchezea msiwe mnatuponza vijana wa kimasikini kila siku nasema.
Wengine tunaongea kwa kupenda nchi sio kutaka madaraka ndio maana nasema kuna haja yakuacha mikumbo ya kisiasa.