“There’s nothing in Siaya, they only have a tiny roundabout in town”~ Onyango Tate.
Thanks Orengo we’re now a national joke. Same person is moving around in disguise of saving Kenya.
“There’s nothing in Siaya, they only have a tiny roundabout in town”~ Onyango Tate.
Thanks Orengo we’re now a national joke. Same person is moving around in disguise of saving Kenya.
🚨 Russia's Putin lays red carpet for Tanzanian President Samia Suluhu Hassan in Kremlin
The leaders held talks in Moscow during Suluhu's state visit to Russia, the first by a Tanzanian head of state in more than 55 years.
Suluhu later travelled to St. Petersburg to participate in SPIEF 2026 and attend a Russia–Tanzania business dialogue.
USA-leaning Ruto went to South Africa abruptly to avoid Russia.
Also, recent US sanction on Tanzanian police chief was a 'warning shot'.
But with blood on her hands, how can Samia Suluhu redeem herself?
What's your take?
Siku ya kwanza ya ziara yangu ya kitaifa katika Shirikisho la Urusi ambapo pamoja na mambo mengine, nimepata heshima ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin jijini Moscow.
Kwa pamoja tumepongeza ukuaji wa biashara kati ya nchi zetu uliofikia asilimia 72 katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025. Hata hivyo, kwa kuzingatia historia kubwa ya ushirikiano na uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa yetu, tumekubaliana kuongeza juhudi za kukuza biashara na uwekezaji ili kuleta manufaa makubwa zaidi ya kiuchumi na ustawi wa wananchi wa nchi zetu.
Aidha, kwa lengo la kufungua fursa zaidi kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi, tumejadili namna ya kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, zikiwemo sayansi na teknolojia, elimu, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokutana na Rais wa Urusi Mheshimiwa Vladimir Vladimirovich Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, Urusi leo tarehe 03 Juni, 2026.
#KaziIendelee