Mh Dorothy Gwajima Waziri wa maendeleo, ustawi wa jamii mh Waziri hakika kazi yako inaonekana ,sio had utumie siasa kuonyesha utendaji wako Waziri pekee uliye karibu na jamii na unajua jamii inataka nn hakika Amiri jesh mkuu mh Rais Samia hakukosea uteuzi wako ,piga Kaz