Siasa zilizo bora ni siasa za USHAWISHI (persuasive politics). Kutumia vyombo vya Dola kudhibiti wapinzani wako sio Siasa. Kutumia lugha za KUHASIMIANA, kupandikiza CHUKI na KUGAWA watu sio siasa bora. Mwenye mawazo tofauti na yako sio ADUI. Anawaza tofauti.