@JonMrema Mnataka sana hizi picha ili mkija kupewa ubunge mgalalishe mlikua na watu kumbe watu wamekuja kushangaa chopa na ni watoto wengi wengine wamekuja kuwashangaa maana hawawaelewi chama kiibuke ghafla kipate watu ushasikia wapiii
Chama mkakat
@EduTalkTz Matokeo ya kukopa ivyo ni kutumia ela bila mpangilio kwa kua unakiona tajiri wakat ela si zako ukiambiwa uoneshe jedwali unakimbia ujue apo Kuna upigaji kitakachofuata ni panic kwa kua mirad haitaenda Wala kukamilika Yani Tz tukiendelea iv hatutakaa tuendelee
@JonMrema Rudisha YouTube za chadema kwanza ndo muanze kulialia mbona nyie mkiwatuhumu viongozi wa chadema wanatumia nyie si mmetaka vipa vya siasa acheni kulialia apo lisu Bado hajatoka na mtaomba sana asitolewe
@godbless_lema Gen Z ya bongo kumbe inajielewa ni Ile wamelelewa kistaarabu na uvumilivu siku uvumilivu ukiwashinda bom linalipuka wengi hawana ajira alaf life tyt uku wakiona viongoz wanamenya tu
Ccm wajue campaign za miaka hii si mirahisi maana watu wanauelewa zaid bcz ya mitandao