1/ We’re excited to announce that $EIGEN Season 2 airdrop claims are now open!
As we approach the $EIGEN token unlock, we want to recognize and reward the individuals, projects, and ecosystem partners who have played a key role in Eigenlayer
Get started: https://t.co/F3jGJZjFa3
Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii inakukaribisha kushiriki katika Twitter (X) Space kuhusu maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI). Siku ya Jumapili, tarehe 26 Mei 2024 saa 10:00 mpaka 12:00 jioni. Nyote mnakaribishwa.
Uongozi, Menejimenti na Watumishi wote wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii tunaungana pamoja katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani 2024. #KaziIendelee