Kuna mshkaji wangu kaajiliwa serikalini alichukua mkopo Bank wa 16M kila mwezi anakatwa 530k kwa miaka 7, ukipiga hesabu analipa 40M+. Hivi nikiamua nitunze hiyo 530k kwa miaka 7 si nakua na 40m+🤔
Good morning great friends ❤️
A new day has started.
Forget yesterday's mistakes.
Focus on today's opportunities.
The best chapter of your story may still be ahead of you.