📌BOOKMARK THIS!
🚨‼️IGP Wambura - sikio la kufa halisikii dawa! ‼️
Wambura ulijitokeza mwenyewe ukatangaza KINYUME NA SHERIA marufuku ya kutoka nje Okt 29 na ukasema polisi na wengine wa usalama watakuwa mtaani kuanzia saa 12 jioni kushughulika na wananchi! Hawa kwenye picha mbalimbali ya matukio tumeanza kuwatambua - wengi wao ni POLISI ! Mlibeba hadi akina Mzenji na Sumai na genge la Mafwele na mkalazimisha polisi kushiriki!
Ulichofanya Wambura ni KUNAJISI taasisi muhimu kwa kupokea amri HARAMU kutoka Jezebel na kisha kulazimisha walio chini yako watekeleze amri haramu! Wapo wachache walioamua kukataa hii amri haramu leo mnawawinda na hivi karibuni umeamua wamalizwe wote maana umeona ICC inanukia!
Sasa kaa ukijua tuna ushahidi na mashahidi na wewe ni top suspect miongoni mwa top 10
Wewe ndo “fall guy” wa Samia Suluhu! Maji yakifika shingoni atasema we ndo ulitoa amri maiti ijae barabarani na sauti yako ndo ilisikika kwenye walkie talkie za polisi na usalama!
Mafwele tayari na yeye maana hawa akina Kabazu na Tupaq ni watu wake! Na ninyi wa chini mliokubali kutumika na mko kwenye hizi picha mnafuata kumalizwa wabaki kusema mliamua kwenda kuua na si kwamba mlipewa maelekezo na wakubwa alafu watasema “mmepotea” kama mlivyowapoteza mamia!
Mjishikilie! You are on to a bumpy ride! Na mmejitakia wenyewe tuliwaonya sana
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa.
Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa.
Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari kupigwa pini na serikali ilianzia hapa, kifo cha ITV na media zingine kubwa kilianzia hapa na mara nyingi nilikiwa natoa warning kwa Watanzania kipindi cha Magu, nikiwaambia hii system mnayoruhusu Magufuli aijenge eti sababu anawaita wanyonge na kusema mliibiwa sana mkae mkijua ndio haitofutika tena bila damu kumwagika. Nilikuwa nawaambia hii all the time and sure enough aliemfata akaendeleza kwa speed ya 5G na akaongeza ukatili mara elfu 10.
Mnao mliliaga huyu kiumbe mlilieni tu ila pia msijitoe akili, mkubali kuwa mateso tunayopitia sasa hivi chimbuko ni Magufuli……
I hope tumejifunza kitu na huko mbeleni hata mtu gani atuite wanyonge hatutompa unchecked power. Now let’s fight to undo the mess Magufuli started, tulete haki kwenye nchi yetu ili tuweze kuwa na amani.
HAKUNA AMANI BILA HAKI NA HATUTAKI AMANI KAMA HAKUNA HAKI. SIO SISI TUKOSE HAKI ZETU NA RAHA KWENYE NCHI YETU ILA KUNDI DOGO LA MAFISADI MNATULAZIMISHA TUWAPE AMANI ILI MU ENJOY MALI ZENU MLIZOTUIBIA KWA AMANI. BORA TUKOSE WOTE…… NARUDIA EITHER HAKI ITOLEWE AU TUKOSE WOTE!!!!!!!
Nduli Idd Amin Mama alituma wasaidizi wake Gereza la Ukonga.
Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba limama lao lipo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano.
Mhe. Lissu aliwauliza anisamehe kwa kosa gani wakati yeye ndo aliyenibambika hii kesi ya uwongo?
Mhe. Lissu aliwambia sihitaji anisamehe wala kupewa masharti kwamba ukitoka ufanye hivi ila nataka afute hii kesi kwasababu ni ya uwongo na yeye anajua na Dunia inajua kwamba mimi sio Muharifu.
So Nduli Idd Amin Mama anatumia kesi ya mchongo ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu ili kumkomoa ndo maana mpaka leo Mahakama ya Rufani haijapanga tarehe ya kuanza kusikiliza Rufaa ambayo imekatwa na Mawakili wa Serikali.
Nduli Idd Amin mama anadhan kwa kufanya hivi itafika muda Mhe. Lissu atampigia magoti na kukubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano uzuri Mhe. Lissu alishasema kama wanataka kumnyonga kwa hii kesi ya uwongo yupo tayari ila hatompigia magoti mtu yeyote.
Halafu hata hiyo kesi ya Mgawanyo wa mali za CHAMA na mazuio ya CHAMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni muendelezo huo huo wa kublackmail Viongozi kwamba mkikubali kuingia kwenye maridhiano basi hizi kesi zote zitafutwa.
Nakumbuka wakati wa Uchaguzi Nduli Idd Amin mama na vibaraka wake walikuwa wanasema kwamba “CHADEMA wanajiona wao ni special sana wakati Tanzania Vyama vya upinzani viko vingi”
Sasa kama Vyama vya upinzani nchini viko vingi sana kwanini yupo Desperate, anahangaika na kutumia nguvu kubwa kiasi hiki kutaka CHADEMA ikubali kuingia kwenye maridhiano si akaridhiane na hivyo Vyama walivosema ni vingi???😂😂😂😂
Labda tumkumbushe tu Nduli Idd Amin Mama kwamba CHADEMA ni CHAMA CHA WANANCHI WA TANZANIA, IKO MIOYONI MWA WATU.
CHADEMA IMEBEBA MATUMAINI YA WATANZANIA WENGI.
CHADEMA NDO CHAMA PEKEE CHENYE LEGITIMACY KWENYE NCHI HII SO TUTAILINDA LEGITIMACY YETU KWA WIVU MKUBWA.
Under Common law jurisdiction, Jeshi la Polisi halikupaswa kukamata wana CHADEMA kwa kisingizio kuwa wamepuuza AMRI ya mahakama. Kama CHADEMA ilidharau agizo hilo, ilitakiwa mwombaji wa zuio (mlalamikaji) aiombe mahakama HATI YA UKAMATAJI na sio polisi ku ENFORCE amri. #Civil ⚖️
CCM wanataka Watanzania waisahau hiyo picha ya kwanza na wapigie makofi picha ya pili.
CCM wanajaribu kum-rebrand Samia kwa matukio feki ya kijamii.
Watanzania watawaonyesha wauwaji kuwa wao ni ma high IQ na watadai haki mpaka washinde. Hakuna kurudi nyuma mpaka tupate haki na wauwaji wawe held accountable.
Wananchi wamelipa viingilio Mpira umehairishwa badala muwaombe radhi nyie mnawapiga mabomu na ujinga wenu haya sasa wameaharibu kiwanja.
Msingizieni tena Tundu Lissu kuwa amewatuma PUMBAVU.
Oktoba 29 kuna vijana waliamuriwa wazime moto kwa kutumia migongo yao.
Unalalia moto. Unaambiwa uuzime.
Can you imagine or manage being in such a situation?
Ni ukatili wa kiwango gani?
Walionusurika kufa wana majeraha ya milele!
Hatutasahau.
UWAJIBIKAJI LAZIMA!
Imagine watu wenye ujuzi wa hali ya juu na ubunifu tupo bize kukimbizana na wahalifu form 4 failures wauza unga ambao wameamua watuwinde na watuue kwa kuwakosoa tu! Badala tungekuwa bize kujenga jamii na Taifa tupo tunapambana na wapumbavu!
Acha nchi iendelee kuitwa “sh*thole country”
#TutaelewanaTu
Forex it was not designated for Ordinary people. Inataka wanaume (simaanishi wadada hawamo) wenye mioyo mikubwa na utulivu wa mwili na akili. Ndio maana kelele za wasio amini mitandaoni ni nyingi...
The thing is hard and it needs hard and brained people. Mepenzi tu yanakutesa FOREX HUTAIWEZA!
Haitaki kudeka deka, ni uwezo wako wa kumshawishi Broker akupe Dola ukatumie. Ukishindwa uta Donate kwake kila siku.
Hisia zako ndio mtaji wako na ndio faida yako!
Good morning!
Home girl PIPI JOJO nimemsikiliza vizuri sana. Dogo anaakili sana. Akiwa na mentality za MBEYA hatashindwa kutoboa kimaisha sio lazima kimziki.
Kuna kikwazo cha umaarufu kwasasa ndio kinamtesa—akivuka hicho naona kesho yake kubwa. All the best Young.