Kalidou Koulibaly - CAPTAIN Timu Ya Taifa Senegal🇸🇳
Thiago Silva - CAPTAIN Timu Ya Taifa Brazil🇧🇷
Christian Pulisic - CAPTAIN Timu Ya Taifa Marekani🇺🇸
Chelsea Are Gifted With Leaders....
🚨Mshambuliaji Wa Atletico de Madrid Mfaransa🇫🇷 Antoine Griezmann Ametajwa Kama Mchezaji Bora Katika Timu Hiyo Kwa Mwezi September.
Mechi Alizocheza Mwezi Huu:
Dakika 27 vs Real Sociedad.
Dakika 29 vs Porto.
Dakika 27 vs C Vigo.
Dakika 27 vs Leverkusen
Dakika 90 vs Madrid
🚨BREAKING: Winga Wa Klabu Ya Real Madrid Mhispania Marcos Asensio (26), Amesaini Mkataba Wa Awali Wa Miaka Minne (04) Na FC Barcelona Na Atajiunga Rasmi Msimu Ujao Wa Joto.
VIA:- RACI1.
🚨RASMI: Baada Ya Klabu Ya Watford Kumfuta Kazi Kocha Wao Mkuu M-Wales MR, Rob Edwards (39) Akicheza Michezo 10 Tu Ya Ligi, Timu Hiyo Imemteua M-Croatia🇭🇷 MR. Slaven Bilic (54) Kuwa Kocha Mkuu Kwa Mkataba Wa Miezi 18.
Watford Kwenye Championship Inashika Nafasi Ya 10&Points 14.
🚨Beki Wa Kati Wa FC Barcelona Muruguay Ronald Araujo (23), Anatarajiwa Kuikosa Michuano Ya Kombe La Dunia Baada Ya Kupata Majeraha Kwenye Mchezo Wa Kirafiki Dhidi Ya Iran.
Araujo Atakaa Nje Kwa Miezi Mitatu Mpaka Minne.
🚨ChukuaHii...
Barcelona Walimsajiri Phillippe Coutinho Akitokea Liveroool Kwa DAU La $188M 2018.
Akiwa Kwa Mkopo Bayern 2020, Aliifunga Barca Bao 02 Kwenye Ushindi Wa Goli 2-8&Kushinda UCL🏆.
Baadae Barca Wakamuuza Kwenda Aston Villa 2022 Kwa DAU La $21M Na Hasara Ya $167M.