The Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children launched the National Tuberculosis and Leprosy Programme (NTLP) in July 1977.
@ChokaDJ Hongera sana DJ Choka umekuwa balozi mzuri wa kuelimisha wengine kuhusu TB. Kwa kweli TB Inatibika na kupona kwa dawa za hospitali na si vinginevyo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndungulile akiwasilisha Tamko la Siku ya Ukoma Duniani mbele ya waandishi wa habari tarehe 26 Januari , 2018