@Iam_Malunguja@MartinNNgondya1 Wamepanda kutoka level ya Regional Referral Hospital mpaka Zone Referral Hospital. Nadhani wanaongeza staff ili kujiimarisha katika kutoa huduma.
Magonjwa yanayoongoza kuathiri wagonjwa wanaoonwa idara ya wagonjwa wa nje OPD -2022/2023
-Maambukizi ya mfumo wa juu wa hewa
-Maambukizi njia ya mkojo
- Malaria
- Nimonia
- Kuhara
- Shinikizo kubwa la damu
- Maaambukizi mengine ya mfumo wa chakula
- Vidonda vya tumbo
- Minyoo
- Maambukizi ya ngozi - Fangasi
#BajetiYaAfya