@goligani Isiwe degree iwe masters ili tusiwe watu wa kuubadilisha badilisha katiba kila mara bungeni ni sehem sensitive sana tusiruhusu wahun waende tu kule hizo degree hapana..iwe masters tu
@MsomiKhan18 Nenda Dodoma coz ni mji ambao unakuwa kwa kasi sana na pia ni mko ambao una wafanya kaz wengi wenye uhakika na ajira hivyo unaweza ukafanya biashara na kupata kipato zaid kutokana na mwiingiliano wa watu wengi wenye pesa au ukapata ajira ya pili ukawa unafanya kaz mbili kwa siku