Dalili 10 za utajiri 💰
1. Nidhamu ya pesa
2. Kuweka akiba mara kwa mara
3. Kuwa na vyanzo vingi vya kipato
4. Kupanga matumizi
5. Kujifunza kila siku
6. Kuwekeza badala ya kutumia ovyo
7. Subira na uthabiti
8. Kuzungukwa na watu wenye malengo
9. Kuthamini muda
10. Kujiamini na kuchukua hatua
Utajiri huanza na tabia sio pesa tu
Mambo 30 KUBADILISHA Maisha Yako Mwezi Mei 🫡
1- Mrudie Mungu 🙏
2- Kula kwa afya
3- Kunywa maji ya kutosha kila siku
4- Fanya mazoezi (angalau dakika 30)
5- Lala vizuri (6–8 hrs)
6- No soda & energy drinks
7- Acha kulilia mapenzi
8- No porn & punyeto
👇🏾
1. NIDHAMU.
Hapa ndipo kila kitu kinaanza.
Unafanya kile unachopaswa kufanya hata kama hujisikii.
Kama hakuna nidhamu hakuna mwanzo.
Jenga nidhamu bro
Nidhamu ndo msingi wa kila jambo kutimia.
Viitunguu swaumu 10
Vitunguu majii 10 katakata
Tangawizi Nusu kilo saga
Changanya mchanganyiko hu Pamoja Kisha weka maji lita 1 chemsha dakika 10 epua ipoe
Baada ya apo unakunyw Robo glass mara 2 kwa siku muda wa siku 5-7 alaf Piga na kegel 30 asubuhi
Ukipendezw leta mrejesho
🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷
Jino liliniuna lilitaka kuniua na kung’oa nilishauriwa nisilitoe maana halikua kwenye hali nzuri… nimetumia mchanganyiko wa ( Backing Soda, Tangawizi ya Unga, Ndinu ya Unga na maji kidogo)
Hadi leo ni mwezi wa 8 siskii hata dalili ya Maumivi
Unachat na mtu majibu yake ni "K" au "P" na wewe umekomaa tu kuendelea kumchatisha..
Kuna muda kama mwanaume lazima ujiheshimu..
Una vitu vingi sana vya kufanya kwenye haya maisha.