“Maisha yamenionesha thamani ya kusimama kwa miguu yangu. Kama ningesubiri msaada wa familia tajiri, marafiki wenye ushawishi au viongozi wenye vyeo, leo nisingekuwa nimepiga hatua hata moja.” - Leonard Nyagilo.
“Nilijikwaa, lakini sijadondoka kabisa. Maumivu yamenifundisha thamani ya upendo wa kweli. Sasa najua – kila siku ni nafasi mpya ya kuwa bora kuliko jana.” #NYAGIL🌏kwanza. #TutatokaTuWana.
Mtu mwenye hekima ya kweli haonyeshi hekima kwa kusema tu mambo ya busara, bali kwa kuyaishi na kutenda kulingana na maneno yake. Ni rahisi kusema, lakini kutenda kwa mujibu wa maneno yako ndiyo kipimo halisi cha hekima - Nyagilo.