Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa,
Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili?
Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati. Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana. Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?
Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake.
Hautosonga mbele
Mungu hatakubariki kwa kile unachofanya. Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?
Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?
Ulikutana nae mitaani?
Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?
Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu. You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.
Ni bora mkewako akuulize kwamna
"what have you ever done for me?"
Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawatazikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??
Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?
Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary,
Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.
Usilipe ada zake
Usimlipe kodi.
Ngoja nikuambie.
Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayoyapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.
Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.
Wewe ndiye utamlisha.
Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake
Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kutombewa
Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi
Nimemaliza.
VALUATION
Nataka nijue thamani ya biashara yangu, nifanyeje?
Nimekuwa nikipata sana hili swali, toka kwa startups, SMEs, hadi biashara kubwa (corporates).
Wengine anasema ana wazo anata ajue “value” yake.
Kwanza niseme, kujua thamani ya biashara yako (valuation) ni suala la kitaalam (technical), lakini ntaweka ki ufupi tu hapa.
Umuhimu wa kujua thamani ya biashara yako;
1. Itakusaidia kwenye “negotiation” unapo tafuta mwekezaji
2. Itakusaidia kujua bei sahihi kama unataka kuuza biashara yako by 100%
3. Inakusaidia kuingiza “partners” bila wewe kuweka pesa
Njia za kuthamini biashara yako (valuation methods).
1. Asset valuation method - hii inaangalia mali zako (assets) na kutoa madeni ya kampuni (liabilities). Jibu ukigawa na no.of shares, unapata Net Asset Value (NAV) per share
- Hii ni nzuri kwa biashara yenye mali nyingi (asset-heavy), isyo na medeni mengi na iliyo komaa
2. Discounted Cash Flow method (DCF) - hii inaangalia zaidi uwezo wa biashara kutengeneza pesa mbeleni, kwa kuangalia thamani ya pesa ya leo. Nzuri kwa biashara zenye “predictable cash flow”, na madeni machache
3. Comparable valuation - hapa unaweka thamani kwa kulinganisha na kampuni nyingine ambayo value yake inajulikana in the public, na mnafanana kitabia. Unaweza kuangalia vitu kama P/E ratio, au EBITDA kati yako na kampuni hiyo.
4. Market capitalization- hii ni kwa ajili ya kampuni iliyo “listed” kwenye stock market. Unachukua bei ya hisa moja unazidisha na namba za hisa (outstanding shares)
5. Enterprise value/EBITDA- unaangalia mtaji wa kampuni, madeni, na kiasi cha cash cha kampuni. Then unaweka uwiano wake na EBITDA (EV/EBITDA ratio). Hii nzuri kwa kampuni iliyo komaa
6. Revenue multiple - Hii unazidisha mauzo yako ghafi na number (multiplier) ambayo inakubalika katika “industry” husika. Kila industry ina standard yake.
7. Idea peke yake sio rahisi kui value, unless iko patented/intellectual property which can be treated as an asset. Otherwise, peleka idea yako kuwa biashara kwanza halafu ndo utakuja kufanya valuation, otherwise utalaliwa. But “raw ideas alone before execution, are close to nothing”.
NB: Dont google, ukitaka ku value kampuni yako, omba ushauri wa kitaalam
Remove these verbs from your CV
❌Managed
✅Supervised
❌Ran
✅Executed
❌Conducted
✅Carried Out
❌Utilized
✅Leveraged
❌Wrote
✅Authored
❌Handled (Ability to manage)
✅Controlled
❌Was part of
✅Participated
❌Contributed to
✅Collaborated
❌Gained experience in
✅Acquired proficiency in
❌Managed
✅Directed
❌Responsible for
✅Oversaw
❌Worked (Organized)
✅Orchestrated
❌Did
✅Accomplished
❌Helped
✅Facilitated
❌Made
✅Crafted
#IkoKaziKE