Kisaikolojia unaambiwa asilimia 98 mwanadamu hujisemesha negative au hasi yaani kukiri kushindwa kufanya Jambo furani , kuanzia Leo hebu jaribu kukiri Kushinda hata Kama Hali Yako ni ngumu hakika utajishinda ,mkumbuke daudi alivyomuua Goliath,Mungu akusaidie uwe mtu wa Kushinda.