Pamoja na salamu zenu nyingi za kunitakia heri ya kuzaliwa 26 Dec.
Mwaka huu nimekosa ile salamu ya rafiki yangu Humphrey Polepole
Kwa miaka kadhaa ,tangu 2008 nimezoea kupata salamu yake fupi "heri ya Kuzaliwa Mzalendo"
na mimi ningemuitikia "asante sana Mzalendo".
She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power.
Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her abroad instead of appearing herself, fearing to meet the same fate she imposed on Tanzanian youth.
Justice is coming, and when it does, everyone who chose to remain silent during our suffering should remain silent then as well. Hatutaki unafki…….
Mwakinyo kavaa T-SHIRT mbele ina sura ya BI MSUMI afu mgongoni ina SURA YA TUNDU LISSU na ishara ya mahakama kwa chini.
Anafanya kazi ya kugeuka kuonyesha sura ya TUNDU LISSU muda wote. Bila shaka Mwanetu ni familia ila CHAWA wamefosi unyama kutaka Bi Msumi nae aonekane.
Watanzania ni lazma tujivunie huyu Mzee. Mzee pekee aliebaki duniani ambae aliwahi kuwa kiongozi mkubwa na anazeeeka akiwa upande wa haki na akipigania haki bila woga wowote. Mzee ambae hana tamaa ya pesa wala madaraka yeye anachotaka ni kuona haki.
Samia muuaji akajarabu kufanya propaganda ya kupiga nae picha juzi ili kutafuta uhalali ila Mzee akatoka Ikulu akampiga kwenye mshono.
Watanzania kila siku tumuombee huyu Mzee Mungu aendelee kumuweka hai. A true Tanzanian hero.
Kina June Warioba, you must be proud to have such a father. Tunawaonea wivu kwa kweli, wenzetu mlijua kupewa baba aisee.
Kuna kina Kikwete wanazeeka na ushetani wao. Na uzee ule bado tamaa ya pesa na madaraka kwa familia yake ndio kipaumbele chake.
MAJIZZO, HII NI PERSONAL
Concern yako sio USTAWI WA MUZIKI, bali ni kulinda MASLAHI BINAFSI (MEDIA, NAFASI kwa Watawala). Kama uliona ni suala la kisiasa, kwanini uliIileta mezani na kumtaja SUGU?
Umeguswa na Wasanii na kufanya press, ila hujaguswa na Maelfu ya Watanzania WALIOUWAWA ambao pengine walikuwa Wasikilizaji wa EFM na TV-E?!
Interview yako Deutsche-Welle, unasema “umewaombea msamaha KAMA kuna kauli mbaya walitoa”.
Unajifanya hujui kauli zilizotolewa? Unataka SULUHU ila hutaki ku-Admit KOSA? Sawa tu na SERIKALI HARAMU na ninaelewa kwanini unafanana nao. Walikupa Tenda ya KAMPENI; ni dhahiri, LENU MOJA.
Unataka KUINUA MUZIKI, umefanya nini hadi sasa? Una SUPERSTAR umemtengeneza hadi leo? Clouds, East Africa, Wasafi wametengeneza Stars! Wewe yupi? Na usiongelee SINGELI, maana ni Street Movement ilikuwepo tayari; na hata ulipoidandia haujazalisha Star wa kudumu.
RUBY, the Best in East Africa, alikuja umsaidie, ukafeli na mwishowe ikawa “Story za Ngono”. Tulikustahi wakati Ruby anafunguka, ila sio kama hatukuamini; file lako tunalo. Kumbuka unaowaleteaga hizo Story ni PISI ZETU na DADA ZETU. Tena sijui ni masharti ya Mganga, unatakaga upewe Ofisini.
Siku ulijiongelesha about HIP HOP na Show ya Mlimani City. Hiyo ndio akili yako ya kuiinua? How is that SUSTAINABLE? Mimi TVE wakati mnajitafuta mmenitumia sana kushoot PILOT SHOW zenu, tena mlikuwa mnaniita on short notice. Ila 2018 natoa album ya KISIMANI mkaninyima Interview hata kutaimbulisha. Huthamini effort za Artists wanaojituma, utainuaje Music? RUGE alituma team ya Media hadi kwenye Rehearsals za bendi!
Unajisogeza kwenye movements ila haupo tayari kupambana; Ruge alikua na Uwezo ndio akawateka Watawala sio kwa janja janja. U-Godfather sio rahisi hivyo, eti kisa una Media, vi Spika sijui na umepewa hela na CCM once ndio uhutubie Taifa, na CHARISMA huna!
Pia ACHA UNAFIKI. Ungeguswa kwanza na suala la KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI! Iweje Uchumi wa Wasanii wakati WAAJIRIWA WAKO tu HUJAWALIPA hadi WAHAINI tuwasitiri mitaani huku.
Kiufupi hatukusikilizi na Hatukuzingatii cause huna ENOUGH CREDIBILITY!
Hii sio tena The Leader bali ni
BEBERU KASEMA!
Hivi ndivyo Polisi walivyomteka Nicodemus Julius loyore jana.
Hatupo zama za MAWE yote yanayofanyika GIZANI dunia itaona tuu. Waziri HARAMU alielekeza polisi wanapoenda kukamata mtu wawe na UNIFORM ila naona alikuwa anapiguia mbuzi gitaa.
#FreeNicodemus
Chuki mnayojenga mlipuko wake utakua wa kishindo kikubwa mno..
Mlipomteka Mdude, Soka , Ben Saanane na wengine mliamini kila mtu atajificha ndani na kunyamaza…
Sasa wanaongea mpaka Wazee..
Kufikiria kwamba mtachukua watu mpaka wote wawapigie magoti ni kujidanganya mno..
Kama Hitler, na madikteta wengine hawakufanikiwa kwa mbinu hii, historia inatuambia kwamba hakuna anaeweza kushinda kwa kujaza watu hofu..
Muachieni huyu kijana Nicodemus Julius Loyore.
Nilipokuwa Bungeni, nilishauri kuanzishwa kwa database ya kitaifa ya taarifa muhimu kutoka Jeshi la Polisi na Magereza, hususan taarifa za matukio maalum, pia mahabusu na wafungwa. Lengo lilikuwa kulinda haki za wananchi na kuimarisha uwajibikaji wa vyombo vya dola.
Nilisisitiza kuwa katika zama za teknolojia, haikubaliki mtu akamatwe au tukio litokee halafu taarifa zake zipotee kwenye makaratasi au maelezo ya mdomo. Mfumo huo ungewezesha taarifa kupatikana popote ulipo, kwa kuandika jina la mtu au tukio pamoja na tarehe, bila urasimu wala visingizio. Kwa bahati mbaya, ushauri huo ulipuuzwa.
Leo tunashuhudia aibu na lawama dhidi ya Jeshi la Polisi, si kwa sababu ya kukosa askari au sheria, bali kwa kukosa uwazi na mifumo ya uwajibikaji. Hili si tatizo la teknolojia, bali ni uamuzi wa kisiasa. Kama ushauri huu ungesikilizwa kwa wakati, matatizo haya yasingetokea.
#EnforcedDisappearances#Tanzania
Nicodemus Julius Loyore was abducted by plainclothes armed men who identified as police in Dar es Salaam
Nicodemus took part in MO29 and has been ciritcial of @SuluhuSamia murderous cabal
This is why we say #SamiaMustGo and her cabal
Cc @WGEID @OHCHR_EARO @UNHumanRights@AmnestyEARO@hrw@Europarl_EN@SenateForeign@SFRCdems@StateDRL@FCDOGovUK
Jeshi la Polisi limemteka Nicodemus Julius Loyore jana akiwa ofisini kwake, Walifika Polisi waliovaa kiraia wakajitamburisha kisha wakamchukua na kuondoka nae maeneo ya Mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.
@tanpol acheni kuteka! Mnachofanya ni uchochezi!
#D25 #J1