Nilienda usukumani tumekula wali maharage tumemaliza nikanyanyuka kunawa, nikaitwa baba subiri chakula kinakuja, hapo tulikupa upooze kidogo baba. ukaletwa ugali wa mtama humuoni mwenzako wa upande wa pili na sinia la nyama ya supu na vibakuli vya mchuzi majamaa wakaufuta😂😂😂🙌🏿