“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa. Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu. Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
From the heart of Njombe, I had the opportunity to visit the remarkable Lwivala Stone a fascinating natural wonder shaped like the map of Africa. 🌍🇹🇿
What amazed me even more was the final slide of my photos. I commanded AI to draw the boundaries of the African map, and the result looked remarkably similar to the shape of the stone! 😲🌍
Standing before this incredible formation was a reminder of just how much beauty, mystery, culture, and wonder Tanzania holds beyond the usual tourist destinations.
If you’re looking for an authentic experience filled with nature, history, local stories, and fascinating discoveries, Njombe deserves a place on your Tanzania travel list. 🇹🇿✨
“Hamshangai kiongozi akinunua gari jipya, Alafu mnahoji Panya road kununua panga jipya”😅 45 Kikosi🏴☠️
Dizasta Vina wa Singeli, Huyu dogo huwa ni adimu kwenye media lakini mtaani ana kijiji chake.🙌🏿
Muimba singeli pekee msomi aliyepiga combi ya Sayansi A level na akapasua.