Muigizaji Mkongwe @stevenyerere2 Amefika hapa Kwenye Msiba wa Marehemu Grace Mapunda
Steve Nyerere Amesema na Wasanii wa BongoFleva kutokuonekana kwenye Misiba ya Wasanii wa Bongo Movie.
____________________________
#OPlusTv#PlusUpdates#PlusTrend#PlusSports
Kuna namna rapa @roma_zimbabwe anafurahia kuishi sehemu ambayo hakuna mtu anamfahamu kama yeye ni mtu maarufu, anasimulia namna ambavyo anaweza kutoka hata akiwa ajatupia na hakuna wakumshangaa.
Swipe kuisoma story yake....
#OPlusTv#PlusUpdates#PlusTrend#PlusSports
Kocha wa Manchester United Ruben Amorim amesema ni bora ampe nafasi kocha wake wa makipa Jorge Vital mwenye umri wa miaka 63 katika kikosi hiko badala ya Marcus Rashford kwa sababu ya kutojituma uwanjani.
#OPlusTv#PlusUpdates#PlusTrend#PlusSports
Mimi sio mtu ambaye naweza kufa kienyeji kama kuku. walijaribu wengi na hawakuweza, mpaka wakati wangu ukifika. Msiba wangu utatangazwa na Rais wa Tanzania wa kipindi hicho, kwa sababu nitakuwa mkubwa zaidi ya hapa.
Account za IKULU ndizao zitatangaza msiba wangu.
#PlusUpdates
Wikiendi hii hakikisha haupitwi na habari kuhusu siri shule 10 vinara matokeo ya kidato cha nne, ndani ya gazeti la Mwananchi, Jumamosi, Januari 25, 2025.
#OPlusTv#PlusUpdates#PlusTrend#PlusSports
Msanii wa Nyimbo za injili #goodluckgozbert ameweka waz sababu za kuamua kuchoma gari aina ya benz aliyopewa zawadi na nabii mkuu Geordavie, una maoni gani kuhusu video hii?
____________________________
#OPlusTv#PlusUpdates#PlusTrend#PlusSports
SIMBA imefungiwa mchezo mmoja kucheza bila Mashabiki ambao utakuwa dhidi ya CS Constantine kutokana na vurugu zilizotokea dhidi ya Sfaxien ya Tunisia ambapo pia klabu italipa kiasi cha dola 40,000 kama faini ikiwa ni sawa na MILLION 101 za Kitanzania.
Usiku wa Mkesha wa mwaka Mpya Jijini Arusha leo Disemba 31, 2024 umepambwa na burudani mbalimbali ikiwemo mbio za Farasi, Pikipiki pamoja na mbio za magari, suala ambalo limekuwa kivutio kikubwa kwa mamia ya wananchi wa Mkoa wa Arusha.
@baba_keagan