Amri moja nawaachieni, UPENDO.
Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Swali 1: Nikiishi hii amri pamoja na yale aliyoyahubiri Yesu pale kwenye Mathayo 5-7, sio kwa sababu yamehubiriwa au kuagizwa na Mungu, bali kwa sababu naamini kwayo kama mambo ambayo binadamu yoyote anapaswa kuyaishi (virtue), halafu wakati huo nikakataa kumkiri Yesu kama mwana wa Mungu au kuamini katika yale niliyosimuliwa kuhusu yeye, siku ya mwisho Mungu atanifikiria au ataniacha kwa sababu tu sikukiri na kuamini?π€
Swali 2: Vipi nikimkiri Mungu na kuyaishi yale aliyoyaagiza lakini sio kwa sababu naamini ni mambo sahihi yanayopaswa kufanywa na mwanadamu bali kwa sababu tu yameagizwa na Mungu?π€
Thatβs it for today.
This page is about strength, discipline, and self-respect.
Follow (@Savage__Manhood) & RT the first tweet to support MEN on their journey.
Thanks for reading.
USA has no power to withdraw from United Nations conventions under the doctrine of pacta sunt servanda. Allowing US to do so will subject the earth into Armageddon because other states will mimic the same and take unilateral actions prejudicial to international wellbeing.