@YohanaA14822082@ModestaZ7 Kama una jambo lako na una hakika litakuvusha lkn lina hitaji approver ya mtu,jitahd kwenda na wakati ikibidi lazimisha, ili liende watu wana kwamisha watu
Tofauti ya #Ukweli na #Uhalisia sifa kuu ya ukweli unaweza ukauficha lakini hauwezi kubadilika utabaki ni ukweli, lakini uhalisia unaweza kubadilika(man-made)ili ku uthibitisha ukweli,kwenye kamali lazma ujue karata ipi ya kutupa na karata ipi ya kutunza