@ayubu_madenge Now I believe that an icon and veteran of Kenya's modern politics is no more. Thank you Amolo for proving a dependable specimen in a Political Science Lab! Until we meet again🙏🙏
“Ukweli kuhusu mwanaume na mwanamke si ujenzi wa Kitamaduni bali zawadi ya MUNGU. Tupinge itikadi zinazochanganya Watoto na Kupotosha mpango wa MUNGU. Familia alivyokusudia MUNGU ni mahala patakatifu pa maisha na upendo. Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kutafsiri upya msingi huu”Papa
Wakenya mashuhuri na waliowahi kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za Serikali nchini mwao, wametumia Pesa zao, wameacha shughuli zao na wametenga muda ili kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Tundu Lissu.
Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya yaani David Maraga aliyehudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka Mitano (5) yaani kuanzia 2016 hadi 2021 ametua Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.
@ayubu_madenge Elimu humfanya mtu awe huru. Humwondolea woga usiokuwa na maana. Humwepusha na magonjwa kama chuki, wivu na uchawa. Maraga the great, welcome to Tanzania