@KimbavalaUledi@rollymsouth Fedha zinawekwa Bank moja kwa Moja au kwenye Mkoba ambapo usalama wa fedha upo,
Niamin Siku izi swala la Kumpa mtu hela watu washaachana nayo
@EmmanuelMa39317@Longamuno@FestoNgadaya Tatizo bado hujaweza kuadress tatizo la msingi, saaa ina maana gani mtoto mdogo bima Ghali lkn akifika primary inakatwa kupitia shule, watoto from 0 to 5 yrs ni muhimu sana wawe wanaweza kuhudumiwa na Bima kuweza kuokoa uhai wao.
Final arrangements are underway as Standard Chartered Bank readies funds for the remaining construction sections of Tanzania's Standard Gauge Railway (SGR), including Makotopora-Tabora, Tabora โ Isaka, Isaka-Mwanza, and Tabora to Kigoma.
@anuskills3 Jumlish 10+20+24=54
Chukua 54/2 =27
Jibu 27.
Tunagawanya kwa 2 sabb jumla inakua na wanyama 6, paka 2, Mbwa 2 na panya 2,
Ukitaka paka 1+mbwa 1 + paka 1.
U just gawanya the total by 2.
@moodewji Naitwa Arnold Shoko Mwanzilishi wa Startup inayoitwa @Samaki__Farms Tumejikita katika uzalishaji wa virutubisho mbadala vya protein (alternative protein ingredients)kwa ajili ya chakula cha samaki kwa sasa tunatumia uchafu ili kupata bidhaa zetu. Tafadhali Retweet #MoGifts2022
@CydeManchester@darmpya_@SuluhuSamia Mwekezaji atafute eneo lingine kwa iyo fedha Basi... shida kubwa ukiqnza na moja itafata ingine na ingine... muhimu kuwa makini sanaa yaan mpaka shulee
Watunukiwa kwa kazi njema...
Kikosi cha #Tanzania kinachohudumu na ujumbe wa @UNPeacekeeping nchini CAR, @UN_CAR kimetunukiwa nishani ya utendaji bora katika hafla maalum iliyofanyika magharibi mwa nchi hiyo.
Soma zaidi: https://t.co/EoZqrQ0kQ8
Uganda is exploring options to cut reliance on Kenya for petroleum imports by reviving shipments through Tanzania, a move that potentially jeopardizes business for Mombasa port.
Uganda accounts for 75% of Mombasaโs transit cargo.
โ Bloomberg