@420Cousin Hata kama Lissu atauawa kwa kunyongwa ama kupigwa risasi wewe utafaidika nini?
Je! Watakaomnyonga wataishi milele?
Niambie kama ulishakutana na binadamu mwenye miaka 200
Hii inamaanisha sote miaka 150 ijayo hatutokuwa hai tutawafuata tuliowanyonga
@fatma_karume Swali hilo hilo ulipaswa kumuuliza Rais
Kwamba wakati unanyang'anywa leseni yeye alikuwa na Cheo gani? Na wakati CCM inashinda kwa asilimia 99 Rais wa sasa alikuwa chama gani?
@fatma_karume Wakati ule Rais alitoka kanda ya ziwa ndio maana Polepole alimtetea mpaka Maovu yake na wewe Fatuma ulipinga maovu yake. Hivi sasa Rais Anatoka Pwani Polepole anapingana naye na wewe Fatuma unamtetea.
Kwahiyo ngoma droo hupaswi kumshangaa Polepole bali jishangae wewe kwanza
@CAFCLCC CAF, your goal is to give Berkane an advantage to win the second round match against Simba. Why are you forcing the match to be played at Amaan complex instead of Benjamini Mkapa Stadium?Or because the owner of Berkane holds a high leadership position in CAF?
@SimbaSCTanzania Nimekerwa sana fainali hii kuchezewa Amaan Zanzibar. Huku ni ugenini. Maana huko wana Rais wao. Ni kwanini CAF wanatulazimisha kutumia uwanja wa Amaan complex. Ni heri mechi ingechezewa KMC Dar
@SuluhuSamia Tumeambiwa Mtandao wa x umefungwa na haupatikani kwa wananchi wa Tanzania lakini cha ajabu Rais wetu amepost kupitia mtandao huo huo wa X
Je! Anampostia nani ilhali ukiwa Tanzania mtandao haupatikani?