Nawakumbusha mbogamboga Nchimbi hatujui bado yuko wapi
Na tupo tunawaangalia tusisikie alikuwa anaumwa sijui nini!
Nchi haitawiliki kwa mabavu!
#WhereIsNchimbi#FreeNchimbi
Tundu Lissu akiwa bado Ubeljiji mwaka 2022 aliongea na #MariaSpaces kuhusu mgomo wa madereva na akasema wasimsuburi Tundu Lissu aje
Leo Lissu yuko ndani na madereva wenyewe wamejipanga na wamegoma nchi nzima!
Tanzania AMKA!
Tulichokosa na mshikamano sasa tumeshajua TUSHIKAMANE!
Hakuna serikali dhalimu iliyoweza kushinda raia wake ambao wako mamilioni!
@munyamambogo@TBoundBuses msikilizeni Lissu
#TutaelewanaTu
ANOTHER SUNDAY IS ALMOST HERE.
Let’s see if Dr. Emmanuel John Nchimbi will attend church as he usually would have, as his past pattern showed.
If he is not seen in church again, or seen publicly, we will continue asking:
WHERE IS EMMANUEL NCHIMBI?
This is not the first time we have seen this pattern in Tanzania. People who say something publicly that does not align with the government’s speeches, narrative or position seem to face intimidation, expulsion, disappearance -or worse.
They can try to show the world that everything is okay. They can continue presenting one-sided reports to the Commonwealth. They can continue with what was said/presented at UNGA81 -including an event held to award themselves. Who would put an event in a different country to award themselves? Go figure….Waste of funds…
They can continue lobbying.
They can continue shifting blame.They can continue avoiding accountability for what happened on October 29.
But the international community is not fooled.
The international community continues to monitor what is happening, and there is a lot going on behind the scenes that time will tell.
Nothing short of TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY will be enough.
And if you believe Nchimbi is fine or simply confined somewhere, then ask yourself this:
In a democratic country, would someone simply be confined without proper due process, without clarity, without being seen publicly, and without answers?
If everything is fine, then let him be seen.
If he is safe, let him speak for himself.
If he is free, let him appear publicly.
The continued lack of clarity only raises more questions about democracy, human rights and the deep troubles facing Tanzania.
We will keep asking.
WHERE IS DR. EMMANUEL JOHN NCHIMBI? 🇹🇿
And where are Humphrey Polepole and so many others who disappeared after publicly asking difficult questions about the election, the need for a New Constitution, justice, kidnappings, and other issues that we all know have increasingly become dangerous - even seemingly a death sentence -for those who dare to speak out? 🇹🇿
#WhereIsNchimbi
#FreeNchimbi
#FreeTunduLissu
#StopEnforcedDisappearances
#OnlyTruthAndJustice
🤣🤣CCM mbele kwa mbele
Jamani niliwaambia #TutaelewanaTu sasa oneni hadi chawa wa mama mnavyohangaika! Watu wanaogopa hata kupiga picha ya uonevu 🙄 haya sifiieni na haya sasa!
Acheni kuwa selfish! Tusimame pamoja tupambame dhidi ya serikali dhalimu
@Royaltv_plus Muuaji anaogopa nini? Mambo ya nini? Wewe bashite unafaa kwa gerezani kwa mauaji na utekaji. Yupo wapi Humphrey Polepole ##FreeHumphreyPolepole yupo wapi Dr Nchimbi #freeEmanuelNchimbi usidhani sisi ni wajinga! Ipo siku and very soon
@YerickoNyerereT Ujinga wako ni wa kipekee huna hata tone la aibu. Yukonwapi Humphrey Polepole na M akamu wa rais Emanuel Nchimbi mbona uulizi vile unauliza mambo ya Mange?
Aisee mambo hajakaa sawa kabisa! Mnamzuia Nchimbi atoke - kama anaumwa je? Mbona mambo ya kikatili?
Nchimbi kwa mfano akiugua na kufia ndani mtasababisha mtafuruku kubwa! Acheni huu ujinga!
Shida mlishajiambia eti watanzania hawana uwezo wa kumdai mtu!
Ni hivi kinachosubiriwa ni SABABU tu! Wananchi kama kuchoka tumechoka haswa! Na uzuri tumechoka pamoja na maaskari na watumishi wa umma!
Siku yenu ya anguko mtashangaa watakaocheza kwa furaha barabarani!
Na sisi tuache kulaza damu! Watatupoteza mmoja mmoja! We need to get our act together!
#FreeNchimbi #FreeTunduLissu #FreeAllPoliticalPrisoners #SamiaMustGo