Mturudishie umeme aisee msitufanye wajinga kama mmeshindwa mleteni mzabuni mwingine mtu unarudi nyumbani upumzike unakutana kiza aisee inakera saana au kwa sababu tandale
@Tanescoyetu
@HKigwangalla Yaaani ulipo kwama ni apo kwenye slave mentally kwa sababu huko uliko ndio chanzo cha yote hayo brother edit toa hayo alafu nitarudi twende kwenye mjadala husika
@ahmed__ally Hizo ni propaganda brother siasa peleka ccm na chadema kwanza leteni wachezaji na kuondoka kwa kocha kunakitu nyuma ya pazia hasante kwa kutuzalilisha tukutane msimu ujao