Prof. Kitila @kitilam is showing us a very important direction: we need to rethink how business is done by reducing unnecessary bureaucracy and regulatory barriers. In today’s world, successful businesses are no longer built only in large shops or industries; even a single room can become the foundation of a million-dollar enterprise. This is the time to change our mindset, support innovation, and work toward building a stronger nation.
SIRI 7 AMBAZO WAFANYABIASHARA WENGI HAWAPENDI VIJANA WAZIJUE.
Watu wengi wanapoangalia wafanyabiashara waliofanikiwa, huona tu matokeo
• magari
• ofisi
• maisha mazuri
Lakini mara chache sana watu huona kanuni na siri zilizowafanya wafike hapo.
Baadhi ya siri hizo ni
🧵👇🏼
Mambo 5 ya kuzingatia kama mwanaume
1. Liishi neno lako, maanisha unachosema.
2. Sio kila kitu nichakuonesha, private is the POWER
3. Usimuombe mwanamke akupende
4. Usimrudie mwanamke aliekuaacha ukiwa huna kitu
5. Usipende show OFF, acha matokoe yakuonyeshe
Siku mmoja kijana alimfuata mzee tajiri na mwenye hekima, akamwambia;
"Mzee naomba siri ya mafanikio".
Mzee akatabasamu na kumwambia, "Sina siri ya mafanikio ya kukusaidia ndani ya siku moja. Na isitoshe hakuna siri ya mafanikio iliyojificha...
....Mafanikion ni TABIA na MATOKEO ya unachokifanya kila siku. Nenda kafanikiwe".
1. Elimu yako ikusaidie kuona mbali.
2. Isikupe kiburi cha kujiona bora.
3. Isikupe presha ya kuonekana umefanikiwa.
4. Ikufundishe kutengeneza njia.
5. Na ikufungue macho ya dunia halisi.
Dave Ramsey kwenye show yake huwa anapenda kusema, kuwa;
"Kuna utofauti mkubwa kati ya kutafuta KUINGIZA (Earn) pesa na KUZALISHA (Multiply) pesa.
Kutafuta KUINGIZA pesa unaweza ukatafuta daima na usiipate kiasi unachotaka,
Ila ukijifunza namna ya KUZALISHA pesa, unaweza ukajitahidi KUINGIZA kipato (pesa) ndani ya muda fulani, kisha ukazizalisha daima."
Framework yake ya "7 Baby Steps" ni moja kati ya financial plan ambayo imewasaidia sana watu wengi kuhusu elimu ya fedha.
Binafsi huwa najifunza sana kutoka kwenye show yake kupitia maswali ambayo watu huuliza, na kisha Dave Ramsey na timu yake kujibu.
Kuna sheria 2 kama Mwanaume ni muhimu kuzizingatia..
Sheria namba 1, Jipende na jitunze wewe mwenyewe
Sheria namba 2, Usicheze na chanzo chako cha mapato
Above 30, kuna namna unatakiwa kujua kutofautisha kati ya;
1. Vitu unavyotaka kufanya (Want to do).
2. Vitu unavyohitaji kufanya (Need to do)
3. Vitu ambavyo unabidi ufanye (You have to do)
4. Na, vitu ambavyo ni lazima uvifanye (You must do).
Ukiweza kutumia hii kupima kila unachokifanya, itakusaidia kwenye ku-set Priorities kwenye maisha.
• Nilikutongoza .
• Nimekuona unastahili kuwa mke wangu.
• Nilikwenda kwa wazazi wako kuwajulisha nia yangu kwa binti yao.
• Nilitumia mamilioni ya mahari yako na bidhaa nilizopewa kununua kama orodha yako ya ndoa.
• Unakuwa jukumu langu kuanzia sasa.
• Sasa, sina budi kukuhudumia na kukulinda maisha yangu yote.
• Kwa hivyo, uko chini yangu, mdogo kwangu.
• Ni lazima uheshimu, utii na unyenyekee kwangu.
• Unazingatia mamlaka na uongozi wangu.
• Ninaongoza, Unafuata!
• Nikizungumza , wewe nyamaza!
• Sisi si partners!
• Sisi hatuko sawa!
• Mimi si mwenzako!
• MIMI NI MFALME WAKO!
Dear wafalme,
Nawasogezea hii code ya Kifalme.
Bao la sekunde 40 kuwa dakika 40 (Super Viagra)
-Tikiti nusu 🍉 ½
-Limao 1 (toa maganda ya nje na mbegu)
-Tangawizi kubwa 1
-Maji glass 1
Saga pamoja.
Kama Una Roho Nyepesi Usi-:
1. Usioe Pissi yenye Mtoto
2.Usinunue Mazda Cx5 Used
3.Usijaribu Kwenda Nchi za Ulaya Kwa kuzamia
4.Usijenge Ukweni
5.Usiipe pissi ya Karatu Mimba 🫵
6. Usikope Zile Kausha Damu
7.Usiingie Kwenye Kamari ( Betting)
8.Usiwahi kupanda kwenye vile vigari vya magazeti
9. Usinunue Sinu ya Pixel chini ya 7 pro
10. Usipige Chafya wakati unatumbo la kuendesha .
11.Usimpe Ushauri mtu aliyekosana na Mchumba/mke alafu ukaonyesha kuchagua upande 🫵
Huu ni ukweli mchungu ambao wengine watatafuta wanipige mawe, lakini wacha nikupe Siri hii uzinduke kiakili.
Bar ni moja ya Biashara ambazo zipo kwenye kundi la MAHITAJI YA ZIADA kati ya makundi matatu ambayo ni:-
MAHITAJI YA LAZIMA
NAHITAJI YA MUHIMU
NAHITAJI YA ZIADA
👇🏾
Kwa wale mnaopenda kusali Zaburi:
anza na Zaburi 130 ya kuomba rehema na kuinyenyekeza nafsi, endelea na Zaburi 27 ya kuondoa hofu na kuimarisha imani,
kisha Zaburi 121 ya kumkabidhi Mungu safari na maisha yako yote, malizia na Zaburi 128 ya baraka za kazi, familia na maisha ya kila siku.
Mungu akusikie, akulinde na akubariki. 🙏🏽