UKIAMKA...!
1. Kunywa Glass 1-2 za Maji Asubuhi hii, Fanya hivyo Kwa Ajili ya Vital organs zako π«!
2. Pata Angalau dk 15-30 za Mazoezi ya Asubuhi, KEGEL ni MUHIMU zaidi Kwa Mwanaume!
3. Oga Maji Baridi (Zingatia mazingira na sehemu iliyopo).
4. "Kaa Mbalii" na Sukari Nyingi.
5. Kula Angalau yai π₯ 1 Leo Kwa Ajili ya Moyo na Ubongo π§ .
6. Pata Muda wa Kuyafurahia Maisha Yako na mafanikio uliyopata, hata kama ni kidogo na Kwa kufanya Hivyo utailinda Afya yako ya Akili π§ .
7. Hakikisha unapata Mboga za Majani Kwa Ajili ya Kuimarisha Kinga Yako ya Mwili.
8. Usikae sehemu moja kwa Masaa au muda mrefu, inuka jinyooshe, tembea, Utauokoa uti wako wa mgongo!
9. Pata Muda wa Kupumzika, Ni nzuri Kwa Afya yako ya Akili.
10. Like & Repost ili iwafikie na Kuwasaidia Wengine π
KEGELS PART II,
English; You Only Need KEGELS to improve your Horse Power Energy + Natural Foods to Boost your Testosterone (Video in the Comments).
Swahili; Mazoezi ya KEGEL SEHEMU YA 2, Kula Natural Foods Kuimarisha Urijali + Libido.
Like & Repost For Others.