@tanescoyetutz Acheni ujinga ujinga kila siku mnakata umeme alfajir bila taarifa yyte HUKU ukonga Mkolemba/Mosh Bar ,haya tunaendaje makazini na watu wengine wanafanya vp shughuli zao? Embu rudisheni umeme sio msaada huo ndio maana tunalipa
@tanescoyetutz Acheni ujinga ujinga kila siku mnakata umeme alfajir bila taarifa yyte HUKU ukonga Mkolemba/Mosh Bar ,haya tunaendaje makazini na watu wengine wanafanya vp shughuli zao? Embu rudisheni umeme sio msaada huo ndio maana tunalipa
@tanescoyetutz Acheni ujinga ujinga kila siku mnakata umeme alfajir bila taarifa yyte HUKU ukonga Mkolemba/Mosh Bar ,haya tunaendaje makazini na watu wengine wanafanya vp shughuli zao? Embu rudisheni umeme sio msaada huo ndio maana tunalipa
@tanescoyetutz Acheni ujinga ujinga kila siku mnakata umeme alfajir bila taarifa yyte HUKU ukonga Mkolemba/Mosh Bar ,haya tunaendaje makazini na watu wengine wanafanya vp shughuli zao? Embu rudisheni umeme sio msaada huo ndio maana tunalipa
@tanescoyetutz Acheni ujinga ujinga kila siku mnakata umeme alfajir bila taarifa yyte HUKU ukonga Mkolemba/Mosh Bar ,haya tunaendaje makazini na watu wengine wanafanya vp shughuli zao? Embu rudisheni umeme sio msaada huo ndio maana tunalipa
UKITAKA KUJENGA HESHIMA KUTOKA KWA WANAWAKE NA WANAUME JENGA THAMANI 👇👇
Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake.
Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya Mwaka kwenye Grammys.
Michael Jackson alitaka kujulikana zaidi ndani ya watu wa Marekani, hivyo aliwasiliana na Rolling Stone ili kumwandikia hadithi ya jalada na pia kumweka kwenye jalada lake mnamo 1980.
Alikataliwa na jarida hilo maarufu kwa sababu ya rangi ya ngozi yake. Aliambiwa kuwa watu weusi kwenye jalada la gazeti lake haliuzi.
Michael Jackson alijibu kumwambia Rolling Stone kwamba katika miaka michache atakuwa msanii maarufu zaidi duniani na watamsihi atumiwe kama hadithi ya jarida lao, anaweza kukubali au kukataa ofa yao.
Miaka miwili baada ya Rolling Stone kukataa kumtumia kama hadithi yao kwenye jalada, alitoa albamu yake ya sita inayoitwa Thriller.
Thriller alichukua tasnia ya burudani ya Amerika kwa dhoruba na kuvunja vizuizi vya rangi na kumfanya Michael Jackson hadi kuwa msanii mkali zaidi wa kizazi chake.
Thriller ndiyo albamu iliyofanikiwa zaidi kuwahi kutokea.
Michael Jackson alinyakua tuzo nane za Grammy kwa usiku mmoja na kumfanya kuwa msanii wa kwanza kufikia mafanikio kama haya.
Watu ambao hawakuwahi kumpa heshima yake Michael Jackson kabla hajatoa Thriller walilazimika kumkubali.
MTV ililazimika kupiga wimbo wake kwa mara ya kwanza baada ya kutolewa kwa albamu hiyo.
Akawa msanii wa kwanza mweusi ambaye wimbo wake ulirushwa hewani na MTV.
Rais wa wakati huo wa Marekani Ronald Reegan alimwalika Ikulu ya White House kutokana na mafanikio ya Albamu yake ya Thriller.
Wafalme, mkitaka kupata heshima kutoka kwa wanaume na wanawake, jenga thamani. Ikiwa wewe ni mtu wa thamani, watu watakukubali.
MWISHO🤓
MASTORI YA SAYANSI AKA QUANTUM FICTION STORY
Sehemu ya 1 (Ulimwengu pacha)
MULTIVERSE
Sijapata neno sahii la kiswahili la multiverse lakini tutumie limwengu pacha.
Inafikirika kuna uwepo wa limwengu nyingi sana,ukiachana na ulimwengu huu wetu na limwengu izo zinavitu sawa .
Huenda hata watu wake ni sawa.
Kuna ile muvi ya Jet Lee THE ONE kama uliona kulikuwa na Jet lee wengi kila Ulimwengu.
Kuna Mtu anaweza jiuliza nazungumzia muvi ama ni nini?
Yes ni stori fulani hivi za kisayansi .
Multiverse,Parallel Universe,Others Universea au unaweza ita Alternate Universe.
CHIMBUKO LA DHANA YA LIMWENGU PACHA
Mwaka 1959 huko Dublin,Erwin Schrödinger alitoa mhadhara(shule) moja ya nukuu yake alichosema :
These were "not alternatives,but all really happen simultaneously” na kuonekana waajabu kidogo.
Mwana falsafa wa kimarekani na Mwanasaikolojia William James aliweza tumia Multiverse mwaka 1895.
Kwa muktadha mwingine neno multiverse lilitumika katika kazi za fasihi za kufikirika yani fiction.
Mara ya kwanza mwaka 1963,mwandishi Michael Moorock alitumia neno Multiverse kwenye Kitabu chake kinachoitwa Sundered Worlds
Multiple universe(ulimwengu pacha) umekuwa ukifikiriwa kwenye kosmolojia,fizikia,unajimu,falsafa,dini pamoja na fasihi kwa kujulikana zaidi kama Science Fiction.
Parallel universe,quantum universe,alternate universe,parallel dimension,parallel worlds,parallel realities,quantum realities,alternate realities,altenate timelines,dimensional planes.
Jamii ya Wanasayansi wamekuwa kwenye mdahalo kuhusu nadharia nyingi tofauti kuhusu limwengu pacha
Wanafizikia mashughuli wanakubaliana huenda nje ya Ulimwengu wetu kuna Ulimwengu mwingine,Ulimwengu jirani
Baadhi ya Manasayansi wanadai mada ya Ulimwengu pacha si Sayansi sababu hakuna tafiti(experiment) inayo thibitisha swala ilo wanadai ni swala la kifalsafa.
Ni sahihi tukitumia hatua zile za udadisi wa kisayansi lazima hatua iyo tuifuate yani experimentation.
Mwaka 2007 Nobel Laureate Steven Weinberg alipendekeza kama Limwengu pacha zipo basi matumaini yapo ya kupata na kutambua thamani sahihi ya uzito wa Quark na baadhi ya constants zinazo onekana kwa Big Bang yetu
KUUTAFUTA UKWELI
Kuzunguka miaka ya 2010 Wanasayansi kama Stephen M Feeney aliweza dai amepata ushaidi unaonyesha Ulimwengu kugongana na Ulimwengu wa jirani,aliweza gundua kwa kutumia wilkinson micro wave Anisotropy probe(WMAP)
Kupitia planck satellite ambayo ni satellite yenye resolution mara tatu zaidi ya WMAP haikuonyesha chochote cha kuongezea hakuna nguvu yeyote iliyoisiwa Ulimwengu kuvutwa na Limwengu nyingine
WASHIRIKI
Hapa nitakutajia baadhi ya Watu na Page ambao wa na support kindaki ndaki swala la uwepo wa Limwengu zingine.
Hugh Everett,
Don page
Brian Greene
Max Tegmark
Michio Kaku
Alan Guth
David Deutsch
Yasunori Nomuri
Sean Carolland Stephen
Mashaka /Wasiwasi
Hawa ni baadhi ya Wanasayansi wenye mashaka na nadharia hii.
David Gross
Paul Stein Hardt
Anna Ijjas
Abraham Loem
Neil Twok
Marcelo Gleso
Paul Davies
Je wewe unafikiria nini kuhusu Ulimwengu Pacha ?
Inaendelea. ✍️....
SPEED YA UPANUKAJI WA ULIMWENGU
Katika makala hii sitazungumzia kuhusu umbo/shape ya ulimwengu
Ila tunafahamu kuwa mpaka Sasa ukomo wetu wa kuuona ulimwengu ni umbali wa miaka ya Nuru billion 93 kutoka upande mmoja hadi mwingine.
Yani ashumu umechora duara alafu ukachora mstari kati kati kuligawa hilo duara basi umbali wa kutoka upande Mmoja Hadi mwingine uwe ni miaka ya Nuru billion 93
Pia tunafahamu kuwa ulimwengu unapanuka kupitia ushahidi wa "Redshift ya Doppler's effect kwa Magimba yaliyoko mbali zaidi na Sisi"
Kwahiyo kama Ulimwengu unapanuka basi lazima upanuke kwa speed fulani
Katika machapisho mengi wanakuambia speed ya upanukaji wa ulimwengu ni 68km/s per megaparsec hii imewapa watu wengi mkanganyiko na kushindwa kuelewa inamaana gani hasa
Wengi walitarajia waandikiwe katika namna ya km/s au m/s sasa leo nitafafanua speed hiyo katika vizio vya km/s
Iko hivi:
Kwa kuwa ulimwengu almost upo uniform yaani sawa sawa kutoka kila upande hivyo kila sehemu inaonekana kama ndo center ya universe.
Yaani ni sawa sawa umuweke sisimizi kwenye uso wa mpira wa kikapu popote atakapokuwa ataonekana ni kama yupo katikati kutoka Kila upande
Hivyo basi umbali huo wa kutoka upande mmoja hadi mwingine wa miaka ya nuru billion 93 tunaugawa kwa mbili ili tujue kutokea hapa tulipo mpaka huko kwenye Kingo ya ulimwengu(ukomo wetu wa kuuona ulimwengu) ni miaka mingapi ya Nuru.
Hapo utapata ni miaka ya Nuru billion 46 na nusu.
Sasa Kumbuka speed ya upanukaji wa ulimwengu ni 68km/s per megaparsec
Ebu tuichokonoe kwanza hii megaparsec:
Megaparsec inamaanisha million parsec.
Lakini parsec ni nini?
Parsec ni umbali wa miaka ya Nuru 3.26
Hivyo basi megaparsec itakuwa sawa na kuchukua 3.26 zidisha mara million 1 hapo utapata 3260000
Sasa Kumbuka speed ni 68km/s per megaparsec yaani speed ya ulimwengu huongezeka kwa kiwango cha 68km/s kwa kila megaparsec moja
Hivyo katika umbali wa miaka ya Nuru billion 46 na nusu, inabidi tukokotoe tujue Kuna megaparsec ngapi?
Ili kujua Kuna megaparsec ngapi itabidi tuchukue miaka ya Nuru billion 46 na nusu gawanya kwa 3260000 hapo utapata 14,263
Sasa tushafahamu kuwa ndani ya miaka ya Nuru billion 46 na nusu kuna megaparsec zipatazo 14,263 ila kumbuka kila baada ya megaparsec 1 speed ya upanukaji wa ulimwengu huongezeka kwa kiwango cha 68km/s hivyo kama tunataka kujua katika ukomo huo /kingo za ulimwengu speed ya upanukaji ni ya kiasi gani basi itabidi tuzidishe 14,263×68km/s
Hapo utapata 969,938km/s hii ni speed kubwa kuliko speed ya mwanga (300,000km/s)
Na ndio maana tunasema Kingo za ulimwengu zinapanuka kwa speed kubwa kuliko speed ya mwanga na kwakua kila point inaonekana kama ni center ya universe hivyo hata kwa mtu aliyeko umbali wa miaka ya Nuru billion 46.5 kutoka kuku tulipo akituangalia ataona tunakimbia kwa speed hiyo ya 969,938km/s
Hivyo basi tunaweza kusema kuwa ulimwengu wote unapanuka kwa speed kubwa kuliko speed ya mwanga ya kiasi cha 969,938km/s
Ila tukirudi kwenye nadharia ya Albert Einstein ya "special relativity" tunaambiwa kuwa speed ya mwanga ni speed ya ukomo na hakuna kinachoweza kusafiri kwa speed ya mwanga hata mwanga wenyewe hauwezi kuvunja record yake kwa kusafiri kwa speed kubwa zaidi ya hiyo speed yake.
Sasa inakuwaje ulimwengu upanuke kwa speed kubwa kiasi hicho?
Je inamaana Einstein Yuko wrong?
Hapana sababu experiments nyingi zisha prove hakuna kinachoweza kusafiri kwa speed ya mwanga au zaidi ya speed ya mwanga
Ila hapo katika special relativity kinachoongelewa ni maada/matter au kitu chochote chenye uzito ndo hakiwezi kusafiri kwa speed ya mwanga.
Ila ikitokea kuna kitu kina uzito wa sifuri basi kinaweza kusafiri kwa speed ya mwanga mfano ukiachana na mwanga wenyewe kuna punje ya kinadharia inaitwa graviton hii inakadiriwa kuwa na uzito wa sifuri na inasafiri kwa speed ya mwanga.
Sasa tukirudi kwenye upande wa upanukaji wa ulimwengu wetu, hapa kinachopanuka ni spacetime between galaxies ingawa kunakuwa na some randomness kwa baadhi ya maeneo mfano endapo galaxies zitakuwa karibu karibu basi spacetime between them haitapanuka sababu itakuwa inadhibitiwa na kani uvutano baina ya hizo galaxies na hizo galaxies zitakuwa zikivutana na kusogeleana mfano ni Andromeda Galaxy na Milkyway Halaxy
Vinginevyo labda Galaxy moja ikubali kuwa satellite kwa galaxy nyingine na hivyo kuizunguka mfano "large Magellanic clouds" na "small Magellanic clouds" hizi ni satellites za Milkyway Galaxy na zinaizunguka Milkyway Galaxy hivyo hiyo spacetime baina ya Milkyway Halaxy na hizo Galaxies haipanuki lakini pia Galaxies hizi hazisogeleani na milky way galaxy sababu zimedhibitiwa na kuwa Satellites kutokana na balancing forces
NOTE: MISCONCEPTION
Pia wengi wanachanganya tunaposema Ulimwengu unapanuka wanauliza mbona kiwanja changu kiko vile vile hakiongezeki?
Narudia tena kinachopanuka ni Spacetime between Glaxies
Spacetime within Galaxies yaani Spacetime baina ya Nyota na Nyota au Sayari na Sayari haipanuki sababu kuna kama gravitational force, kuna maswala ya dark matter vyote vinaathiri na kuzuia spacetime hiyo isipanuke
Kiwanja chako hakipanuki sababu kuna forces za uvutano kama intermolecular forces ndani ya punje za mchanga hiyo ardhi iko tight firmly hold together na gravitational force.
Je ikitokea nimesafiri nikakaa katikati ya Galaxies mbili je na Mimi nitapanuka?
Jibu: NO hutapanuka utabiki hivyo hivyo sababu ndani ya mwili wako kuna forces zinazofanya molecules zote zinazounda mwili wako zisiparanganyike na kutawanyika, hizo intermolecular forces zinafanya kazi na kuzuia hilo, electromagnetic forces ndani ya atoms zilizokuunda wewe inazuia punje za proton na electrons na neutrons zisitawanyike.
asante kwa kunisikiliza 📷….
UKUBWA WA ULIMWENGU (UNIVERSE) UKOJE ?
SEHEMU YA 19
KIMONDO KILI CHOTARAJIWA KUPITA KARIBU NA DUNIA MWAKA MARCH MWAKA 2021.
Kimondo kikubwa kilitarajiwa kupita karibu na Sayari yetu ya Dunia kilikua kinaakisiwa kupita Mwei March 2021.
Kiliwapa Wataalamu wa anga nafasi nzuri kuona Mwamba huo ulioumbwa kipindi cha solar system inaumbwa.
Klikua kinakisiwa kuwa na kipenyo cha karibia kilomita moja.
Kilikua knaitwa kwa jina la Asteroid 2001 FO32 kuwa kwake karibu na Dunia yetu ilikuwa ni umbali wa kilomita 2million kutoka duniani sawa na umbali wa kutoka duniani hadi kwenye Mwezi mara tano na robo.
Kwa muktadha huo hakukua hatari yeyote Kimondo hicho kugonga Duniani yetu kwa wakati huo hata kwa karne kadhaa zijazo.
Wakati huo kilikua kimegunduliwa miaka 20 iliyopita na ndio maana kikananza na jina 2001.
Pamoja na umbali huo kilipokiwepo ulionekana ni mkubwa sana lakini katika masuala ya anga umbali huo ulikua ni mfupi na ndio maana kinabashiriwa kuwa kuwa ni kimondo hatari.
Kitakapopita usawa huo wa dunia yetu wa kilomita 2millioni kitapita kwa speed ya kilomita 124,000 kwa lisaa.
Speed hii ni kubwa kuliko vimondo vingine vinavyozunguka vikiikaribia Dunia.
Mwendo huu ni sawa na kusema kama kingekuwa kinazunguka Dunia yetu kingechukua dakika19 kuizunguka Dunia mara moja au kwa siku moja kingekuwa kinaizunguka dunia mara 75.
Sababu kubwa ni kwanini kina speed kubwa ni kwa sababu angle yake kinavyolizunguka Jua ni degree 39 hivyo kinapata mvutano mkubwa kutoka kwenye Jua.
Tuelewane hapa hiki kimondo hakikua kikizunguka Dunia yetu kilikua kinazunguka Dua ila kikasemekana kilikuwa karibu na Dunia yetu kikiwa umbali wa kilomita 2millioni kutoka Duniani.
Mzunguko wake kuzunguka Jua kiliku kinachukua siku 810 au miaka 2 na robo
baada ya kuwa karibu na Dunia yetu na kilionekana Kimondo 2001 FO32 kitaendelea na safari yake ya upweke hakitakuwa tena karibu na sisi kitakuja kutosogelea Dunia yetu tena baada ya miaka 32 yaani itakuwa ni mwaka 2052.
GEOLOJIA YA ANGA
Katika kupita kiliwapa nafasi Wataalamu wa Anga kujua zaidi ukubwa wake kwa uhakika zaid jinsi kilivyokua kinaonekana au kilivyokua kinaakisi mwanga na wazo kuwa kina viambata vya kimemia vya aina gani.
Hili liliwezekana kwa kutumia kifaa kinachotwa Infra Red Telescope Facility(IRTF).
Hii taaluma inaitwa geology ya telescope.
Ni kama hivi Jua lilipoku linapiga hiki Kimondo muamba unafyonza baadhi ya miali radiation kwa wavelengths wakati miali mingine haikunyonywa ilikisiwa.
Kwa kupima ile miale inayoakisiwa wataalamu wa nyota walikua na uwezo wa kujua aina ya kemikali zilizo kwenye kimondo.
Walitumia infra red spectrum kujua yote.
Zaidi ya hayo uchunguzi wa kirada wa Deep Space Network(DNS) wenye Radar zilizowekwa Madrid nchini Hispania,Canbera Australia,Calfornia Marekani antenna za Madish yake zilipeleka mawimbi hadi kwenye Kimondo hicho mawimbi yaliyogonga na kurudi yaliwawezesha kusoma Orbit yake ikoje,kujua ukubwa wa uhakika wa Kimondo na kama kimondo kina mabonde.
Yote haya yalifanywa na Wataalamu wa Nyota si kwa kujifurahisha ila ni kujifunza na kuangalia usalama wa Dunia yetu kwa wakati huo na siku sijazo kuzuiya tukio lilotokea miaka 65 millioni iliyopita Kimondo kilipoigonga Dunia na kuangamiza Viumbe aina ya Dinosarus waliokuwepo wakati huo hata Binadamu alikuwa hajatokea.
Itaendelea ✍️…
ULIMWENGU UTAISHAJE ?
Nitajaribu kuelezea kinadharia ila mtanisaidia au kurekebisha makosa au kueleweshana vizuri,mana hizi concept bila simulation si rahisi kuilewa.
Lenye mwanzo alikosi mwisho ndivyo wanavyosemaga wenyewe.
Ulimwengu(universe) sidhani kama ni neno geni katika elimu ya anga mana Walimu wengi wamekuwa wakilitumia sana.
Ningependa nianze kwa kuangalia mitazamo ya Wanasayansi juu ya distribution ya ulimwengu au shepu ya ulimwengu wetu.
1.Ulimwengu ulio jifunga(Close).
Kutokana na mtazamo huu ulimwengu ni duara lilo fungwa ambalo limebeba vyote ikiwemo galaksi,na celestials bodies zingine
2.Ulimwengu upo wazi(open).
Kwa maana hii,ulimwengu utakuwa na shepu ya ellipsoid.
3.Ulimwengu flat.
Kiuhalisia ulimwengu uko flat(bapa) kama fabric sheet au kama karatasi (3D)
Wanasayansi waligundua ulimwengu wetu unatanuka kila baada ya sekunde.
Ulimwengu umetengenezwa na kitu ambacho si cha kawaida kidogo ambacho Wanasayansi walikipa jina la DARK METER ,nishati itokanayo na dark matter inaitwa dark energy ambayo ndiyo chanzo kikuu cha mtanuko huo wa ulimwengu.
THE BIG RIP
Ulimwengu unajumwisha vitu vingi ikiwemo Galaksi na unaendelea kutanuka hata Space baina ya Galaksi inaendelea kuwa kubwa lakini kwa sasa gravitational pull(kani ya mvutano) bado inajitahidi kuhold Galaksi zote,ikiwemo Galaksi yetu ya karibu sababu kani ya mvutano inaweza kuhimili.
Mwisho wa Ulimwengu.
Ulimwengu utaanza kutanuka kwa spidi ya mwanga spidi hiyo ya mtanuko itaathiri maada(matters) zote ziliko katika Ulimwengu na particles zote kushindwa kuingiliana(interact) hata kani ya mvutano baina ya Galaski haitakuepo tena na kupelekea Galaski kupotea,Nyota na hatimaye Ulimwengu utakuwa peke yake wakati huo Duniani majengo yote yataanza kubomoka sababu mwezi wetu utaanza kupoteza gravitation yake,hiki kitendo kitasambaratisha vyote na hatimaye Ulimwengu wenyewe kupotea.
Hakuna anaejua ulimwengu ukishapotea kutakuwa na nini
lakini inawezekana ikiwa mwanzo wa Ulimwengu mwingine
THE BIG CRUNCH AND B