👤 Owner and Founder of snada quotes
💹 Sometimes the only person you can trust is yourself,🔥
⚡ Kibanda Finest
😘Dèmix Músîç
⚽ @simbasctanzania @chelseafc
Allahumma ghfir li abii warhamhu wa 'aafihi wa'fu 'anhu wa akrim nuzulahu wa wassi' mudkhalahu.
Ewe Mwenyezi Mungu, msamehe baba yangu, mrehemu, mpe afya njema ya Akhera, muepushe na adhabu, umkirimu mapokezi yake na upanue makazi yake.
“Baba ni kivuli cha nguvu kimya kimya…
anaweza akose maneno ya upole kila siku,
lakini mapambano yake ndiyo sababu watoto wanapata amani ya kulala.” ❤️
“Rabbighfir li wa li walidayya warhamhuma kama rabbayani sagheera.”
“Ewe Mola wangu, nisamehe mimi na wazazi wangu na uwaonee huruma kama walivyonilea nilipokuwa mdogo.”
Siku hizi Mpenzi ndio anakuBlock, Ex anakujulia Hali kila Dakika, Rafiki anakutongozea Mkeo na Ndugu anakutangazia Ubaya alafu Jirani ndio anakuombea Msiba.
Usiruhusu mtu akuzoee sana, Maana yake atashindwa kukuheshimu, Kuna wakati ni Bora wakuone unajidai kuliko kuleteana Mazoea ya kijinga Pia Kuna wakati ni bora watu wakuogope na kukuchukia maana wakikupenda watakuzoea mwisho wa siku Watakudharau.