Kwa mahitaji ya nyumba na Magari maeneo ya posta,Ubungo na tabata tuone 2kuhudumie
Nyumba posta mpya,$ ya zamani,Sarenda,kibamba, kutana na Dalali mweny weledi na uelewa. contact me
0759321207/0685353125
@AfredMachumbe @LucasbrownTz Dawa mizizi ya muembe mchanga tafunia kwenye jino majimaji yafike pale sehem inayouma,usisahau kusafisha Mara unapolala na unapoamka ili kuyakinga mengine yasiharibike,na pia epuka ku2mia vitu vya sukari nyingi,mwisho kama limepekechwa nenda hospital wakalijazie
Kuna wakati unaweza ona uko pekeyako,kunawakati unaweza ona wew ni asiye na bahati na kina wakati unaweza fikiria kwanini kila unalofanya haufanikiwi na kuna wakati unaweza jiona hauna thamani* mafanikio huja kwaanaeyatafuta bro let's fight* mungu ndie muweza wa yote
#MoGifts2020 has shown me that young people are hungry for capital that clearly isnβt being offered to them by commercial banks. Readily available, scalable ideas are there, we just need to help young entrepreneurs access startup and working capital. (1)
Nashukur @moodewji assalam alykum Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam na pia najishuhulisha na uuzaji wa ndizi kutoka moshi katika soko LA mabibo dar es salaam ila kwa sasa ninamtaji wa ndizi15 na ninatamani kufika mbali zaid naomba msaada wako kaka #MoGifts2020
Ahsanteni kufika followers milioni 1 Twitter! Kuweka kumbukumbu ya siku hii, nitatoa TZS milioni 1 (au zaidi) kuelekea sababu za hisani (charitable causes) / biashara zenye uhitaji. Mawazo 10 bora na wenye retweets nyingi ndio nitayachagua ππ½ Hakikisha unatumia: #MoGifts2020
@moodewji#MoGifts2020 asalam alaykum,mimi ni mwanafunzi was chuo kikuu cha dar es salaam na pia ni mjasiriamali nauza ndizi kutoka mkoani nazileta dar katika soko LA Mabibo ila nimeanza na mtaji wa ndizi 15 ningefurahi kama ningepata msaada niinue biashara yangu