UKUTA UNAZIDI KUONGEZEKA π₯
Wawili hawa Rushine & Toure wametengeneza Ukuta imara sana tena kwa Muunganiko wa haraka mno, then katikati yao kuna Bwana mdogo Vedastus Masinde ambaye naye mdogo mdogo anaingia kikosini.
Tusisahu msimu ujao kinarudi Chuma ABDULRAZACK HAMZA weeh!π«£
Wachezaji wa Kimataifa ambao Steve Barker anawatolea sana macho kwenye Dirisha hili kubwa la Usajili π
β Alassane Kante
β Neo Maema
β Inno Loemba
Unahisi nani kati yao anaweza kusalimika na Panga?
UPDATES π¨β½οΈ
Ni Simba ποΈ Pamba
Jumapili hii ya Tarehe 14 June 2026.
Mechi ya Mzunguko wa kwanza kule Ccm Kirumba Mwanza, timu hizi mbili zilitoshana nguvu kwa Sare ya 1-1.
JE, PAMBA WATAWEZA KUSHIKILIA BOMBE PALE KMC COMPLEX?