Njia panda ukitafuta wapi utapata Burudani ya uandishi na michano kutoka kwa wasanii wa muziki wa Rap/Hip Hop kutoka Tanzania, Ghafla kulia kwako inasikika Sauti ya michano ya Bill Nas na Kushoto kwako unamsikia Country Boy naye akichana.
Utaenda kwa nani??
oya @BDozen eeh wana DsM tuna hamu ya kumuona @COUNTRYBOYTz na @bill_nass kwenye jukwaa la fiesta dar Mana hawa jamaa wana mashabiki wengi dar wana ngoma kali wata umiza sana wakiwa kwenye fiesta ama nini kama vp wa sign cc @CloudsMediaLive