Haijalishi wewe ni msaada na muhimu kiasi gani kwa Mtu fulani ila jitahidi sana kutowaaminisha watu kuwa bila wewe huyo Mtu sio chochote .....๐ค
Wacha nafasi ya Mungu iwe kubwa.
Kama ilivyokosa thamani Chumvi katika kupika chai au Sukari inavyoonekana haina maana katika kuunga Supu
Basi jua kila mmoja ni muhimu katika nafasi yake na huwezi kuwa muhimu kwa kila kitu au Mtu
Ishi mtu wangu.....๐ซต๐ฟ