Kwa utafiti wangu mdogo unaniambia kuwa Wanawake wazuri most of them huwa wapo lonely kwa sababu wanakosa partner. uzuri wao ndio fimbo ya kuwachapia na kuwaweka mbali na wanaume wa ndoto zao.
Good morning wapenzi wangu😘
Karibuni chupi nzuri na bora 🔥
📍Chupi sita 30,000
Unaruhusiwa kuchanganya design tofauti tofauti
📞0754-618108
🛵Tunakuletea popote Tanzania
Kwa sasa karibia wanawake wote wanavaa shanga -
Sio wote wanavaa kwa lengo zuri, kuna wengine wanaenda kwa waganga kuweka kufungiwa hirizi kwenye shanga
Sasa wewe jichanganye unasema anashanga nzuri pirikichi kama nae hivi, kumbe kafunga hirizi utasahau familia.
Sanuka man.
Swali ni hili, kama wanajua tabia zake why wamuite kwenye shows..??
kuna namna hata wao wanafaidika na hizi tabia zake.
na huenda hata hii ikawa planned before.