@kigogo2014@hancymachemba Acha bangi, huo tunaita ushabiki maandaaz,, huoni aibu kwa taifa kubwa km hili kwenda kununua sukar Uganda., punguza ushabiki, umeshapata chakula kula na utulie., usitupoteze kwa furaha zenu wachache.
@mzeewakaliua Goal hili sio goal sahih,, kwa presha ya forward wa yanga imepelekea kipa kufanya makosa hivo nilitegemea kuona muamuz anapuliza filimbi ya offside