#DarEsSalaam in Arabic means the โabode of peaceโ. More than 7 mln people live in #Tanzaniaโs largest port-city, economic&cultural hub. Glad to meet famous Nurdin Bilal Juma, ๐น๐ฟ politician and musician (Shetta!), the new Mayor of Dar es Salaam. Hope to see him at @WUF13 in #Baku!
Uimara, Ubora na Upekee wa CCM ni uwezo wake wa kuwandaa wanachama wake kuanzia umri mdogo kabisa, CCM haikutani na wanachama ukubwani huwekeza toka utotoni. Kwani Chama cha siasa ni itikadi na itikadi ni Imani, Imani HUJENGWA! Happy birthday CCM!
Mwanamziki na mwanaharakati wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto @OfficialShetta anasema kuna changamoto nyingi sana kwenye kukomesha ukatili, na kuna baadhi ya wanawake wanapitia ukatili kisa uchumi.
Cc @bhokeegina @najma_paul
#DADAZ#Shetta
Wanawake na watoto wanahaki ya kuishi bila kuhofia usalama wao.
#KwaSautiYako juinge na #siku16 za harakati za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na wasichana!
@unwomenTanzania#16Days
Shetta kama ndio yule analea watoto wake vile, namna ile, I have so much respect for the Guy ๐๐
Wangekua wasanii wengine wangetaka watoto wa look cute kama kipaumbele.
Sensa kwa Maendeleo , tujipange kuhesabiwa. Ujumbe huu ukitekelezwa, tutajihakikishia maendeleo endelevu.Rais @SuluhuSamia na wasaidizi wake wake tupo tayari kuhesabiwa, @OfficialShetta yuko tayari kuhesabiwa, #officialqayllah yuko tayari kuhesabiwa, Wewe je? #Sensa2022
Thanks y'all for coming out! We had a blast! AMAZING PARTY LAST NIGHT. So grateful to all of my friends and fans. Don't forget to check out my new hit single Namsosomola on YouTube