Top Tweets for #Shetta
🗣 Camp ya #DullySykes 'Misifaz Camp' imemtoa Mbunge wa Viti Maalum Keysha na Meya wa Jiji la Dar es Salaam @OfficialShetta
Hapa anatuambia anavyotamani kumuona #Shetta akiwa Mbunge siku sijazo.
#PlanetBongo
Nikitazama Wasanii Wa #Era Yangu Kwenye RAP Tuliotoka 2007-2010
-#YoungDee #Izzo #Quick #Kala,
#Niki (Wote Wawili) #TheLateZila
#Uno #Stereo #Shetta Na Wengine Wengi…..Ukimtoa Zizi Naona Kama Wamelisusa Game Hivi Hawako Active Kivile…..Kijiti Wameniachia Mwenyewe Nipambane Na Hawa Watoto Wa 2000!!
Mimi Mwenyewe Niko Mbali Daah🥹
Sasa Sijui Ni Majukumu Yanawabana🤔 Au Tayari Wamesharidhika!!
Brothers Wake up…..Game Bado Inawahitaji Mno.
Hii Tweet Inaweza Ikaleta Shida Hii, Nawajua Maniga HipHop😁
@Rydx_017 @__abdulazack @athanas_pius @babalao__ @JayleenRickie @kabigwa_78 @kapeto98 @MissChelsea1221 She looks like #Shetta SMH 😅
Mwanamziki na mwanaharakati wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto @OfficialShetta anasema kuna changamoto nyingi sana kwenye kukomesha ukatili, na kuna baadhi ya wanawake wanapitia ukatili kisa uchumi.
Cc @bhokeegina @najma_paul
#DADAZ #Shetta
#BongoFleva Hii ni baadhi ya mistari kutoka kwenye wimbo wa "Nimechokwa'' wa @OfficialShetta akiwa na @bellenine
Je ukisikia jina la Shetta ni mistari gani inakujia kichwani?
#Shetta #Belle9 #Nimechokwa

#Pancho #Mabeste #Leo #Izzo #YoungDee #Shetta #Zilla #QuickRocker #E_The_Sniper #Mkato
https://t.co/ehyPYt4rkL
.@OfficialShetta ametoa video ya wimbo wake 'Namsosomola' https://t.co/ZzKHRZ5Hah 🔥🎶
#Shetta #Namsosomola

خُدْ الاجرة قبل العمل
وَدعْ الوعود مع الاملْ
إنّ المريض اذا شفيَ
نسِيَ الطبيب وما فَعَلْ
#Shetta
Hata kwenye tabu hutaki tusolve wawili, na haifanani na kiburi bali umechoshwa nami -#Shetta
#Wetalkmusic
#tatufresh #ladhani #efmtanzania
8 june 2020
Namba 1
Motra the future ft @DamianSoulMusic #shetta _ Masikhara
#DizzimUpdates: Staa wa muziki nchini Tanzania, #Shetta anahisiwa kuwa ameanza kutengeneza mazingira ya kuachia wimbo wake mpya, Mazingira ambayo yanayoambatana na kitambulishi cha neno #Bozemba.
Cc… https://t.co/vZMfslDy7O
#DizzimUpdates: Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal Ali maarufu kama #Shetta amekomboa gari gari lake aina ya Discovery lenye numbari za usajili T 220 DMM lililokuwa likishikiliwa na mamlaka ya mapato… https://t.co/6XzXz8En91
#DizzimUpdates: Inaripotiwa kuwa gari la Msanii wa muziki nchini Tanzania, Nurdin Bilal Ali maarufu kama #Shetta lenye number za usajili T 220 DMM linashikiliwa na Mamlaka ya mapato nchini, TRA.
Chanzo: #HZB. https://t.co/j6RcXIxOSB
6 yrs ago ..tarehe kama ya jana ..Studio za B HITS
with #Shetta @jorsbless na #Djrguy (M.A.P )
#kumbukumbuzasimu @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/BPeQ3od6lI
SUPRIZE ZA BLUE DODOMA.
Byser aliwapa wakati mgumu Dodoma, hawakujua washangae au washangilie. Alimleta #SteveRnB ikapingwa tabasamu, kisha #Shetta akaja na #Haufanani. Halafu Blue mwenyewe akaua na live band.
#HappyBirthday #Shetta🎂
Ubora wake katika muziki hauna kificho. Ameburudisha tangu kitambo na hata sasa bado ni nembo ya burudani ndani na nje ya nchi. Ni baba Kayla @OfficialShetta ambaye alizaliwa siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita.
Tumtakie heri ya kuzaliwa.

"Hii ngoma ya #Hatufanani niliandika kwa vibe baada ya @OfficialShetta kunisikilizisha mistari yake, Nilimwambia #Shetta kwa jinsi ngoma ilivyo video tusifanye bongo na kweli baada ya siku mbili akanicheki kuwa ticket amepata na twende kufanya video"
@africanboyJUX #XXL

🚨NEW MUSIC VIDEO🚨 #TANZANIA 🇹🇿
Watch #Hatufanani by @officialshetta ft @africanboyJUX x Mr Blue now loaded on #TRILLV https://t.co/DTeMATHJR5
#AFRICANMUSIC #AFROBEAT #AFROPOP #EASTAFRICANMUSIC #JUX #MRBLUE #SHETTA #TANZANIAMUSIC
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers












